They have gone let's Watch Football Now.

[ATTACH=full]180811[/ATTACH][ATTACH=full]180812[/ATTACH]
Kuondolewa mashindanoni kwa timu ya Argentina yenye Leon Messi pamoja na Portugal yenye Ronaldo kutarudisha ladha halisi ya mpira wa kombe la dunia.

Mashabiki wengi walikua wanafumba macho na masikio yao pale lilipoibuka suala la kumzungumzia mchezaji mwingine aliyefanya vizuri nje ya Messi na Ronaldo. Hali hii ilisababisha kupotea kwa ladha ya kombe la dunia.

Kwa sasa nyota za vijana wabunifu kama kina Mbappe, Kane, Lukaku, Coutinho, Neymar pamoja na wazee wabunifu na wanyambulifu kama kina Cavani zitang’aa bila ukomo.

This is the World Cup I dreamed to watch.

Pointi yako ni nn hasa??

Ni muda wa vipaji vingine kung’aa sasa sio kila siku cr7 & Messi. May players are playing so well… Hivyo na wao wanastahili kusteal headlines.

Kama wanajua,wanajua tu…wataconc headline hata wakiwa wanakula bats mapumzikoni…

Surely, let them follow it kwa TV

Na mulaji watu.

As far as I’m concerned neither Messi nor Cr7 has ever won a world so i dont see your point at all… Maybe messi has been at least shining in the WC but cr7 surely this is the best he has gone in the last 2 wc so hakuna difference…

Eden Hazard’s time to shine!

Kama Willian, hazard, kakukaku, Kane, etc…

My problem is not to them Cr7 & Messi. It’s about the fans who used to ignore performances of the other players kwa kuwataja tu Messi na Ronaldo. Kwa sasa itabidi wasahaulike kidogo na watajwe wengine. May players are playing so well, hivyo ni time yao sasa.