The Tweet

@The Tweet kindly change the colour of all the handles of TZ ladies joining this forum to pink, nataka sana kurushia mapinkies wa TZ ndoana but am having difficulty in getting to know the real pinkies.

Please effect…zande zana

Naweza saidia ww

Tulia dogo, kila mwanamke kutoka TZ kaja na mme wake.

Mke wako ni nani?

Hili sioni akilijibu

:p:p:p:p:p:p

Teh teh teh… uchochezi huu, mambo vipi Demii?

Hujamuona mke wangu?

:p:p:p:p habari za ugenini NAHUJA?

Poa mkuu, tutambulishe mke wako basi

Kusema kweli sina amani kabisa kama nilivyokuwa enzi za home. sio siri ugenini pagumu. Kwanza hapa nakosa jukwaa letu lileeeeee la “wazee”

Ni mrembo fulani anapenda kusokota nywele… nadhani umeanza kupata picha.

Teh…haya nimesurrender!

Kweli kabisa huku amani hakuna, ila mimi nimeamua kula nao sahani moja mpaka watie heshima.
Jukwaa letu pendwa tunalimiss sana, naona mods wanasuasua.

Jukwaa lipo kitambo.

Wasilisha Ombi Lako Kwa Ujumbe Wa Siri Kama Unataka Kwenda Huko.

teh teh teh… bora umesurrender.
Bora tumekuja na wake zetu, maana huku wakina Muthoni, Wanjiru na Wanjiko ni balaa tupu.

Eeeh!!! Uchochoro gani napitia kwenda huko?

Usijali,mkenya atakuwa mcheps!