That Day of the Year

It is that day of the year again…when everyone uses the Nairobi-Nakuru highway and the Nairobi-Nyeri route. I’m here at home wondering ni gani nitatumia nisipatwe nje na curfew. I have to choose between two evils.

Have a look at Ma3route on Twitter to see what others on the route may be experiencing

Kama uko na gari si uende ocha kesho ngware…

kwani unaenda wapi? it will determine the better route

Naingia narok na naskia suswa ndio poa,problem ni kale ka patch ka rough road,jalopy inaeza zimia hapo:D:D . Kuna alternative?

wewe uko sawa kabisa! its the best route in the circumstances kabla wakenya wote waitumie kwenda past Naks, Ksm, Kericho etc

Inaweza. But I need to be home tonight, not tomorrow. Sitaki kuchinja nikiwa nimechoka after safari ya 200Km+.

Nyahururu

Nyeri route is clean today though kunaeza badilika masaa ya saa nane when the rush starts

The pro tip is to avoid the wildebeest migration. Travel off peak

Watu wa ndenderu tutumie route gani ?

Use Murang’a-Kiriaini-Othaya-Nyeri route

Return of the wildebeest. Why all that hustle? At least we’ll enjoy a quieter city for two days.

Everyone is using the same tip. Wote mtajipata kesho thinking ndio off peak. Just use Google map itakwambia vile traffic iko at the moment

Use Nyoka Nyoka .
Exit at Kabati - Gachocho - Kangema - Kiriani - Othaya - Nyeri

Why did you wait till today…pambana na jam ama uende after sikukuu

Mwizi wa handle

I wish I was there lakini covid has messed up alot of things. We usually split up the journey into two and spend at Nyeri/White Rhino ama Enashipai/Naivasha. Enjoy.

Nyahururu wapi boss?

Si Panari tena?