Wema amekatwa utumbo jomoni… So karibuni atarudi kuwa kembambaa… Wamemkatia India huko…wamemfanyia kila kitu bure ili awatangaze sasa sijui atakeep her end of the contract maana hachelewi kusema kafanya diet ♀️. . . Anavyopenda kula sasa, juzi asibugie msosi nini?? Acha atapike!! Alijuta. Ile operesheni huwezi kula hata ukitamani sababu sasa hivi ana utumbo mdogo kama wa mtoto mchanga akila tu anatapika