Telkom down .....again

Naona nikirudi misri.

Yeah man… for the last three days they have been having numerous down time… its time to checkout.

Hehe, sisi tunavumilia

Man, wanatesa peasants kama mimi. Safaricom is too expensive. Nimezoea Freedom Friday. Wanaudhi sana.

Even Safaricom has been having issues this afternoon. Coincidentally there is power outage every time this happens.

Jana I relegated telkom to sim number 2.How do you have a system downtime from 5pm to 11pm without any form of communication to customers?No compensation plan whatsoever.Even now *544# haifanyi.Nataka ku share my safcom number with all biz associates halafu ni churn out of telkom

Kwangu imerudi. Hope sijajiJinx.

Airtel is also another good alternative, ni vizuri sana nimekuwa nyumbani otherwise ningeteseka, safcom sigwes rudi.

@Tom Bayeye unatumia ISP gani?

Wadau … mko na mashida nyingi sana. Hapa Kapedo tunadunga direct hadi kwa satellite. Hapana tambua hii maneno.

Wacha ikae down ,naona vipii zimepotea kutroll

I use Safaricom Fiber, Telkom mi-fi, and Airtel Phone Hotspot… Telkom has been down but I have alternatives…

Peasants detected. Nunua Safaricom bundles + home fiber uwache kusumbua birrionaires

Ya wakamba inaitwa Fastnet Air Fiber.haijafika nairobi but naskia mlolongo iko. Imeanzia Lukenya

Unaenda kunyonga na xvideos net ina potea na ushapaka mboo arimis

also has been down last three days especially majioni