TBT: Old skul day chronicles - only legends wataelewa

It was a bright Tuesday morning, I woke up early as usual and after the morning shenanigans bid mzee Njoro goodbye and was on my way to school. I had picked my busfare the previous evening na nkazitupa kwa bag before nidoz. So asubuhi I just grabbed my bag and off I went. Nkafika stage and after waiting for a couple of minutes kbs ikakam na nkadandia. That was back then before the Michuki rules, so nkapata a spot to step and held on to the paint pale kwa mlango ya nyuma atleast nfike tao in time.

What I and many of my colleagues with the same symptoms would do was to dandia tiko from those who were alighting. If that failed then tulikuwa tuna time donda akikaribia kufika tunashuka. Basically akifika nyuma alikuwa anadondoka anaenda kuingilia mbele ndo arudi tena. So akifika tunadondoka akishaingia mbele tunadandia tena.

With the bus pass I was entitled to pay half fare. On this unfortunate morning I was hanging on the door kama kawaida and working really hard to avoid paying the fare. So as the norm I would wait for those alighting and request the tickets from them or wait akiitupa after kushuka mimi nayo nayo.

So this mean looking mbuyu akafika Kenyatta hosi stage akashuka. Nkampa a very generous smile and he smiled back nkamdai hio tiko yake which he gladly handed over to me. Hapo nkajua nta save macash ya kubuy combi pale school canteen (alumni wa Jamhu wanaelewa hii ni nini). Kidogo kidogo kufika pale community mboy wa upper hill naye akashuka nkadai tiko akanipa, ni boy wa mtaani. So now nko na tiko mbili with zero wasiwasi.

Mbus imeteremka kufika Serena ma inspectors wakaingia, mi nkajua nko safe atleast nko na tiko. Kama kawaida ilikuwa mmoja anadandia mbele na mwengine nyuma then they audit the tickets. Hapo conda naye anafanya bidii kulipisha wale bado hawajalipa ju ata yeye hataki ngori. Kunifikia nkamsho nshalipa but hakuwa convienced. Ju ya spidi ya kulipisha kila mtu before ma inspector wapate mess akaniwacha…

Inspector huyo, akanifikia na kuuliza kijana umelipa? Na confidence yote nikajibu ndio. Haya wapi ticket? Nikatoa nkampatia ya ule boy nkijua iko timam. As a general rule when u have paid half fare as the inspectors ask for the ticket, one had to also hand in the bus pass for their checks. Nkapeana ticket na bus pass na nkatulia nkijua ni formality only for the inspector to give me that sheepish smile and ask kijana hii ticket ulilipia mwaka gani?

Ole wangu, I had been given the wrong ticket na ule mboyz alipondondoka alaf the tiko was dated 2 weeks earlier meaning hata yeye alikuwa ndani ya michezo ya kuhepa kulipa fare. So hapo nlipoteza bus pass which was only 2 weeks old, kwa kifupi ilikuwa suspended for 1 month which after nlifaa kwenda kwa main office pale bus station after the 1 month suspension elapsed kwenda kuwa convince why I should have the bus pass back .

1 Like

@kush yule mnono master, leta hekaya ya kukamua ngamia bwana wadau wazijue street za Mayuu :smiley:

Welcome back hekaya section.umepitia mengi.pass ulipata Tena hujamalizia ama uliamua kutrek:D:D

Muliangusha hadi posta kwa ku recycle stamps …

Hekaya timam sana kanono.

Hiyo ndio ilikuwa order of the day high skul bane. Kutumia colgate…then unaomba mungu hiyo mail ifike

Hawakuona ni kunona kulifanya usiwe na akili?

Mu subcownty leo nko na mood poa, so al let that pass khasia hii

How was kanairo hizo enzi compared to today?

Kanairo ilikuwa peaceful and safer. Hakuna utapeli mob, izi uwizi ndogo ndogo za muggings hazikuwa … sj was still there na mambo ya mchele zero. Transport was organized, ma3 zilikuwa zinaingia CBD adi GPO bila wasiwasi. Kbs ndo ilikuwa kusema.

Kwa wale wanatambua hii place … ilikuwa pale Moi Avenue. Not sure if it still exists

popin1.jpg

Kali sana ma games kuruka

No.
Haribu mood ndio umalise hii ghaseer.

Bado hata kale kamzae ka kuadvertise kako.
Lakini kamechapa ka @Motokubwa

1 Like

I don’t know where that muhindi relocated to but I wouldn’t mind meeting him again, he had a unique collection of items that you could hardly find anywhere else.

Labda @POP-IN atwambie. Lakini hizi joints closed na huko 2010 or before. Naona toto 6/49 so inamaanisha ni around hizo enzi.

Separately, Michuki rules revolutionized the transport sector, few can disagree with that. Hizo story za mathree kuingia CBD ilipunguza jam sana. Unaweza imagine mat za 46 ungwaro zilikuwa na stage pale Norwich Union opposite hilton?

Alafu KBS na pia mathree wasee kujazwa na kupangwa kama mizigo; 14 seater watu kama watatu kusimama.

It was complete chaos!

Enter Chirau Early Makwere:rolleyes:

@kush yule mnono
nitumie link ya ile hekaya ya paka kuchoma mbuloti

14 seater face-me zilikua zimesag chassis kuruka juu ya kubeba mtu 30. whether it was loaded or not, chassis imehang kama haga ya mkhoisan. Ilikua inapigishwa mbio then brakes, space ya mtu mbili inatokea. ole wako ukijipata pale wa kwanza kwa body nyuma ya dere. unatoka na blisters kwa mwili yote. hapo katikati napo mmepangwa mtu 10. manenda mmeinama kama waiter anatafuta madem awauzie drink pale mojos enzi za bendover. matako ya mwenzako iko kwa uso ya msee amekaa chini. akinyamba, kwisha niyinyi. ata sijui how that was allowed for so many years before ‘nissan’ zikam.

mzae wako akiomoka tu kiasi kitu ya kwanza kubuy ilikua gari. public transport had no dignity walai.

Ndo hio kamata…

The day I burnt down the buloti - Hekaya - Kenya Talk

Kijana ya Almasi makende kubwa . Hekaya iko chonjo.
Combie ya musao na ugali ya wanyama would provide that energy for you to walk from jahm to kawangware through waruku , after giving Mr Ntaho and Mr Olet a terrible day , anyway tulitoka mbali !