TBT kicheko kinauma

So nimefika home and just decided to change my beddings a day early seeing that I ain’t got much else to do for the evening. Na for some reason nikakumbuka fala fulani from way back before nianze kazi ya soko, nikiwa nafanya vibarua za kufua.

So, this guy was the type wa kujiona ame make it kwa life juu crib yake nilikua imesukwa na ka fridge kanatoshana na water dispenser, na alikua na T.V ya 21inch. I think kwa hiyo ploti (single rooms) hakukua na mtu mwingine na such “possessions”. I never liked the guy but kazi ni kazi na huezi bagua mahali utifanyia kama unapata kipato. So mjamaa alinipigia simu usiku akaniuliza kama naeza raukia kibaru nikamshow nita raukia kwake first thing in the morning.

Asubuhi mimi huyo nikafika nikapata kazi yangu hapo nje, makarai, soap, manguo na maji na mitungi. Mimi nikaanza ku sort manguo napatana na bedsheets ziko na stains za damu (yikes) nikaseme hizi sifui, nikaziweka kando na kuendelea na kufua hio lot ingine. Kati kati ya kufua, mlango ikafunguliwa na mresh flani. Bila hata salamu, ako ati " mbona hukuanza na bedsheets? Sasa utarudi uzifue na maji usha oshea hadi jeans?" Mimi nikanyamaza na kuendelea na wira, nampimanisha tu, nikingojea aongee stupid katambe. Bahati yake mzuri akajirudisha ndani ya hao, bahati yake mbaya, akpigia jamaa simu kumshow ati sijafua nguo zote. Unfortunately, by the time jamaa ananipigia kunipigia kelele nilikua nishamaliza kufua nakamua ma karai mi nijitoe. Jamaa akaniuliza kama nimefua zote nikamshow zi, sifui hizo bedsheets. Akadai hatanilipa hadi nifue hizo bedsheets. I told him no way nitafua menses za mwanamke mimi! He was adamant kabisa ati hatanilipa na hatanilipa. Nikamwambia sawa.

What happened after that, was a lesson to both of them. Usicheze na pesa ya kazi ya mikono ya mtu. Kuna mresh alikua anaishi huko na alikua beshte, nilienda kwake nikamkopa 500bob. Mimi huyo nikaenda kwa duka ya rangi nikachukua rangi ya black (think nilikua seweco or some other cheap paint) na thinner na nikasema wa mix. Yes, I painted them clothes proper. Sidhani kuna nguo ilivalika hapo after that. Funny thing nikifanya hio wazimu yote hakuna jirani hata mmoja wao aliniuliza swali or tried to stop me. Walikua tu wakiitana wajiangalilie.

Nikamaliza wazimu na nikaenda kibarua next. Sipendi ujinga.

Hata sketch ya huyo mrembo

Malisa hekaya tafasali … what happened afterwards?

Enyewe ulikua more fire

Nothing happened. Never heard from him again, na tukipatana kwa barabara alikua ana angalia kwingine.

:D:D:D:D wewe ni wale wabaya.

A women is her own worst enemy

It’s totally unfair to expect someone to clean your blood.

A matchbox and paraffin would have been cheaper

Mimi huwa napenda wazimu kama wewe,what do you say?

Motokubwa wewe ulisema shimo mbaya ni ya nyoka?? Ata nyoka ukipata imejiweka vibaya unapita nayo

@Motokubwa na ile khasia ingine @uwesmake wote ni sawa.

Wembe au makasi jeh…hata kisu iko hapo jikoni.

Sema ukiskia vibaya kujua jamaa alipata virgin

No wonder wewe ni mboch iq yako ina-match perfectly

Kifagio ya keg joint ikue ilikua virgin? Please!

I know, right? Ghasia

Usimdharau, ama ilikuwa mali Safi ukachidwo utafanya nini

Napenda sana wanawake hii type yako

:smiley: