TBC mbwembwe zote zile za kujitangaza kumbe OVYO

Jamaa walijitangaza kwelikweli kuonyesha Worldcup ,lakini wanaonyesha mechi za mchana tu za usiku hawaonyeshi.OVYOOO SAna bora msingeweka mbwembwe

TBC siku zote inaboa…

Cc: @Mahondaw

Cheki NTV

Kwani zimekuwa sherehe za ccm mpaka waonyeshe?

Kwa hiyo mkuu kweli uliichukulia serious TBC?

Hebu acha masihara mkuu.

TBC kati ya mechi 64 wataonesha 32

zipi hot au baridi? ha ha ha!

mbaya zaidi ni wanavyoingiza sauti zao watangazaji …inakera sana
(wachambuzi nao hamna kitu…vitenge tu)

Yaani waache kuonesha uzinduzi wa matawi mapya ya chama waoneshe WC… kuweni seriuos basi.

Na hicho kidogo wanachoonyesha umeona quality ya picha zenyewe?

Yaani mimi niliwapuuzia tangu siku ya kwanza!!

Aibu sana kwa kweli
Nalog off

Dah tunakoelekea sijui, tukifika msisahau kuni tag

TBC wanajitia aibu tu kwakweli

Du!!bado wapo hao TBC?

hata siwataki hao kurusha bunge live walisema ni gharama lkn kulushawa world cup ni cheep

yata kuwa maajabu

Utawaona wachezaji wa timu zote wana makengeza.

Vipi ubora wa picha ukoje huko TVT/TBC?

Mimi huwa nasikiliza uchambuzi tu, mechi ikianza nahamia Rwanda TV maana wao no Full HD, picha safi sio mirangirangi ya TBC.

Kaka