Tahadhari kwa Villagers Wanaotoka Jamii Forums.

#62
Wakuu poleni na miangaiko ila ningependa wakilisha hoja yangu kama ifwatavyo kuna feature moja ina patikana kwenye hizi major browsers tunazo tumia kila siku kAma Google chrome, Safari na Mozila inaitwa ( incognito mode) hii feature ina kuwezesha kubrowse bila kuacha history wala passowrd au trace yeyote ya kitu ulikuwa unafanya mtandaoni. Nani best kwa watu wanao log in kwenye pc za watu au wanao kwenda internet cafes. So once unapo close tab yako kwenye browser unakuwa upo safe na data zako kama password na username etc. Napia hii feature ni safe kwa wale wanao fanya online transactions sio rahisi mtu upande wa pili aweze kukutrace.
 

Attachments


Join Chatpanda, Fastest growing social media website in Kenya! Get verified easily, grow your following, and meet like-minded Kenyans

Top