Nyepesi nyepesi zilizonyakwa toka Deustchwelle mchana huu ni kuwa Taasisi iliyoandaa tuzo anazopewa jiwe ni ya kitanzania, DW imemhoji mkurugenzi wa taasisi hiyo mchana akasema utafiti wao umezingatia toka jiwe akiwa waziri. Mwaka jana ilimpa Museveni
NB: Aliye na acccount Jamiiforums apost hii kule, mimi wamenipa ban
Ccm wasivyo na akili, yaani hawaoni kuwa kwa kufanya hizi drama wanamuabisha hata huyo wanaetaka asifiwe!
Napata mashaka kuamini kama kweli hata ile habari ya “Trump kamsifia Magufuli” haikuasisiwa pale pale ilipotoka “tuzo” hii.
Mkuu unajuaje muda wa ban? Mimi isipofika mwaka mpya bahati. Nilikuwa naingia kama guest, leo nikajaribu log in, yaani hata yale niliyokuwa nayasoma kama guest hola.
kama unatumia laptop/computer moja, nenda kwenye history halafu “clear browising data” kisha select “from begining”. baada ya hapo anza upya kuingia jamiiforums bila kuingiza id yako