TAASISI ILIYOTOA TUZO KWA JIWE KUMBE NI YA TANZANIA

Nyepesi nyepesi zilizonyakwa toka Deustchwelle mchana huu ni kuwa Taasisi iliyoandaa tuzo anazopewa jiwe ni ya kitanzania, DW imemhoji mkurugenzi wa taasisi hiyo mchana akasema utafiti wao umezingatia toka jiwe akiwa waziri. Mwaka jana ilimpa Museveni

NB: Aliye na acccount Jamiiforums apost hii kule, mimi wamenipa ban

Kazi kweli kweli Duuu Bannnnnniii

hawataki sasa hivi post zinazopiga au kuisema serikali/ccm vibaya

Nimeileta tayari, just read

Nguvu nyingi sana inatumika kumkweza, sasa sijui anamdanganya nani.

Ccm wasivyo na akili, yaani hawaoni kuwa kwa kufanya hizi drama wanamuabisha hata huyo wanaetaka asifiwe!
Napata mashaka kuamini kama kweli hata ile habari ya “Trump kamsifia Magufuli” haikuasisiwa pale pale ilipotoka “tuzo” hii.

Ati wanakabisaa twaweza.hovyo kabisaa

Kikundi cha jiwe kinahangaika sana

Na bado… mengi yatasikika…

Cc: @Mahondaw

Taasisi ya kisenge sana

Mkuu ungeweka na source ili tuweze kuitupia huko!

Kwani ulikuwa hujui mkuu, imetengenezwa ili tusiifuatilie twaweza, jinga sana awamu hii

Mkuu hivi ban ni muda gani. Mi nilikula tangu April hadi sasa

NIMEPEWA MPAKA OCTOBA

Mkuu unajuaje muda wa ban? Mimi isipofika mwaka mpya bahati. Nilikuwa naingia kama guest, leo nikajaribu log in, yaani hata yale niliyokuwa nayasoma kama guest hola.

kama unatumia laptop/computer moja, nenda kwenye history halafu “clear browising data” kisha select “from begining”. baada ya hapo anza upya kuingia jamiiforums bila kuingiza id yako

Kinyesi ni kinyesi tu kata ukipulizie perfume gani lazima kitanuka tu.

Kuna shida gani Taasisi ya Kitanzania kutoa TUZO…!!!

Wewe huoni tatizo mtu kujisifu mwenyewe?

Ajabu sanaaa,tena huku wakilazimisha watu wote waishangilie hiyo tuzo