TAASISI ILIYOTOA TUZO KWA JIWE KUMBE NI YA TANZANIA

Mfiaukweli

Village Elder
#6
Ccm wasivyo na akili, yaani hawaoni kuwa kwa kufanya hizi drama wanamuabisha hata huyo wanaetaka asifiwe!
Napata mashaka kuamini kama kweli hata ile habari ya "Trump kamsifia Magufuli" haikuasisiwa pale pale ilipotoka "tuzo" hii.
 
Jackal2

Senior Villager
#11
Nyepesi nyepesi zilizonyakwa toka Deustchwelle mchana huu ni kuwa Taasisi iliyoandaa tuzo anazopewa jiwe ni ya kitanzania, DW imemhoji mkurugenzi wa taasisi hiyo mchana akasema utafiti wao umezingatia toka jiwe akiwa waziri. Mwaka jana ilimpa Museveni

NB: Aliye na acccount Jamiiforums apost hii kule, mimi wamenipa ban
Mkuu ungeweka na source ili tuweze kuitupia huko!
 
#13
Nyepesi nyepesi zilizonyakwa toka Deustchwelle mchana huu ni kuwa Taasisi iliyoandaa tuzo anazopewa jiwe ni ya kitanzania, DW imemhoji mkurugenzi wa taasisi hiyo mchana akasema utafiti wao umezingatia toka jiwe akiwa waziri. Mwaka jana ilimpa Museveni

NB: Aliye na acccount Jamiiforums apost hii kule, mimi wamenipa ban
Mkuu hivi ban ni muda gani. Mi nilikula tangu April hadi sasa
 
#16
Mkuu unajuaje muda wa ban? Mimi isipofika mwaka mpya bahati. Nilikuwa naingia kama guest, leo nikajaribu log in, yaani hata yale niliyokuwa nayasoma kama guest hola.
kama unatumia laptop/computer moja, nenda kwenye history halafu "clear browising data" kisha select "from begining". baada ya hapo anza upya kuingia jamiiforums bila kuingiza id yako
 
Top