supu ya kuku na mchicha

Sky Eclat

Village Elder
#1
Mahitaji
Kuku mzima hasa wa kienyeji
Fungu moja la mchicha
Tumba tatu za kitunguu saumu
All purpose seasoning
Thyme
Pili pili hoho nyekundu na kijani
Pili pili kichaa moja kwa test kama unapenda
Limao kubwa moja

Jinsi ya kupika
Osha kuku muweke kwenya sufuria pamoja na kitungu saumu, all purpose seasoning na limao
Kuku akiiva weka mchicha uliokatwa katwa, thyme na pilipili,
1530630364147.png
 

+255in

Senior Villager
#8
sio rahisi kumjua labda usimuliwe
Mimi ninavyofahamu ukitaka kujua mtu anajua kupika mwambie akupikie chakula kisichokuwa na nyama hasa ndizi au mboga ya ugali pia asiweke viungo kama curry ama hizi royco atumie tu viungo vya kawaida hapo utamjua kirahisi.
 

Top