Sumaye anataka kuongea nini?

#1
Nimepata habari kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Fredrick Sumaye atazungumza na waandishi wa habari kesho Jumatatu asubuhi nyumbani kwake Masaki kuanzia saa tano asubuhi. Je, ni ule muendelezo wa 'Rudi Nyumbani Kumenoga' au anataka kuongea nini?... Stay tuned...
 
kyekomakubi

Senior Villager
#2

Juzi alisema kuwa sababu zilizomtoa CCM bado ziko intact, hivyo sidhani kama atahama au labda kama sababu zilizomtoa hazipo tena ie yale mabaya yaliyomtoa yamerekebishwa. Mashamba yake etc yanamuuma! Jiwe atakufa kifo kibaya sana kama Id Amin
 
MJINI CHAI

Senior Villager
#5
Nimepata habari kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Fredrick Sumaye atazungumza na waandishi wa habari kesho Jumatatu asubuhi nyumbani kwake Masaki kuanzia saa tano asubuhi. Je, ni ule muendelezo wa 'Rudi Nyumbani Kumenoga' au anataka kuongea nini?... Stay tuned...
Ngoma inaendelea Kurindima na wimbo mpya unaimbwa sasa...........................umewaamsha waliokaa na kuingia kwenye Duara kucheza, Uangalifu unatakiwa cheza kwa Step Usijempa CHAMBI Mkweo tu....................!!!!
 
kyekomakubi

Senior Villager
#6

Huku hakuna mambo y kidole juu, weka point watu wacheue. Acha maneno ya midundiko. JF TZ sawa, huku tunatafakari kwa kina.
 
MJINI CHAI

Senior Villager
#11

Kama unajua kutafakari huwezi kukosa point kwenye hili................wenye werevu wanajua namaanisha nini............Acha Uspoon feeding................!!!
 
MJINI CHAI

Senior Villager
#12
Umeona eh, mimi nikadhani labda anaimba taarabu...
ANATULETEA TAARABU HUKU UGENINI. NAFASI HII TUNAITUMIA KUTAFAKARI NJIA YETU NA JIWE ITAKUWA IPI KWA MASLAHI YA NCHI YETU
Tatizo lenu hamujasoma Lugha ya Picha kwenye post yangu #5 hapo juu.................Mkiambiwa Ngoma kwa Umbulula wenu Mnafikiri Ngoma ya kucheza................Mbona mnatia Aibu huku Ugenini..................!!!!!! Kambi za Wasomali Mutaziweza kweli.....................???!!!!
 
kyekomakubi

Senior Villager
#13

Bado una mdundiko na mipasho!
 
#14
Tatizo lenu hamujasoma Lugha ya Picha kwenye post yangu #5 hapo juu.................Mkiambiwa Ngoma kwa Umbulula wenu Mnafikiri Ngoma ya kucheza................Mbona mnatia Aibu huku Ugenini..................!!!!!! Kambi za Wasomali Mutaziweza kweli.....................???!!!!
Acha povu wewe, mtu mwerevu hajisifii ujinga... Hueleweki unaimba mipasho, singeli au ndo dalili za kupumuliwa kisogoni...
 
#17

To a usenge wako hapa
 
MJINI CHAI

Senior Villager
#20
Acha povu wewe, mtu mwerevu hajisifii ujinga... Hueleweki unaimba mipasho, singeli au ndo dalili za kupumuliwa kisogoni...
Na wewe upo PANDE zile..............Hufanani kabisa....................!!!!! Kupanga ni kuchagua.....................!!!!!!

LAKINI ASILIE MTU HUKO TUENDAKO....................
 
Top