STORI HII INAFUNZA

STORI HII INAFUNZA

Mtoto mmoja alikua anakula embe ghafla akaona funza katika lile embe…

Kama nilivokwambia stori hii ina funza

Asanteni

Bangi mbaya sana

Hmm! Kaazi kwelikweli…

Jamani si tangu mwanzo nimesema story ina funza?

Ndo mana serikali inakataza bangi

Kweli kabisa ila Jamaica wanatumia na haina shida mbona?

Kweli kabisa Tanzania nchi yetu sote…

Cc: @Mahondaw

Nimecheka sana, big up mkuu

wewe una funza

Sijakusoma…

aiseeh

Hahaha!!! Noma sana