Situation at Mirema

Mirema hapa karibu na Thika Road Mall

Manze huku sijui ni drainage ya seawage wana chimba, wanatoboa mashimo biggie ajabu na ata hawapatii/hawatengenezei residents njia ya kupita:-

[ATTACH=full]22459[/ATTACH]

[ATTACH=full]22460[/ATTACH]

[ATTACH=full]22461[/ATTACH]

[ATTACH=full]22462[/ATTACH]

[ATTACH=full]22463[/ATTACH]

[ATTACH=full]22464[/ATTACH]

[ATTACH=full]22465[/ATTACH]

[ATTACH=full]22466[/ATTACH]

[ATTACH=full]22469[/ATTACH]

That’s too unprofessional, kama hawa ndio wangepewa contract ya kutengeneza thika rd hata saa hii bado ingekuwa at infancy with major disruptions to the users
@highschooler na hiyo si roysa?

1 Like

chieth

1 Like

[ATTACH=full]22470[/ATTACH]

[ATTACH=full]22471[/ATTACH]

[ATTACH=full]22472[/ATTACH]

[ATTACH=full]22473[/ATTACH]

[ATTACH=full]22474[/ATTACH]

[ATTACH=full]22475[/ATTACH]

manze huku kwanza vile sasa kuna nyesha nyesha ivi ivi inakua balaa sana,
hah si ni roysambu/mirema

kama iyo sewage

gumboot ni mia saba

I jst hope the ground is stable enuf na hiyo weather

1 Like

Choices have consequences

Thats the best they can do because those people there have built on public street and road reserves. They are trying to spare the property. Tulia utolewe kwa sewage dadee. The last time nilikuwa hiyo mtaa kukinyesha inakuwa indian ocean ya sewage.

1 Like

Boss, hama tu- aki hama tafadhali. THIS IS TOO MUCH…

My ambition is to own machinery like that for such work.

Hahaha labda ni sewage ikue underground kwa barabara, hizo sides za roysa hakunanga mahali sewage hupelekwa inaflowingi tu kwa roadi

wanatengeneza drainage ikue underground atleast residents wache kuogelea kwa seawage

usijali…ningekushow lakini hapo ndio nakulia.320d

usijali…ningekushow lakini hapo ndio nakulia.320d

Have a clande pale roysa lumumba drive.all the roads hiyo mtaa zimechimbwa.you can’t park anywhere.kuma imekuwa stale

1 Like

That area looks swampy

Haiskula tangu uoleke na mpokot umeadimika kama wali wa dau.

1 Like

timing yao ya kuchimba hii drainage iko sawa sawa…the rainy season

@highschooler Hehehe hiyo sewer imekutoa pangoni. Umeadimika kaka.Tokeza!