Simulizi

Jamani mwenye namba za steve mollel wamshtue akuje amalizie simulizi ya roho yake inadai

@Shunie mshtue @tater :confused::confused::confused: tumosa moneytalk

Kama kawaida yako, mamaa wa shughuli za simulizi za ukweli…

Hahaha nasubiri tukamilike tuanze team no arosto

Madame S upo?Nimerusha kitu huko,Dunia Haina usawa

Namba yake ya whatssup ni 0685758123

M

Mtafuteni atuletee mautamu huku.

Hahahahaha nipo jamani

We huwez mtafta kwani

Nitamtafuta nilikuwa busy

Atakuja taarifa ameshapata za huku

Mcheki na archduke wallah nafaaa

Haya nampata wapi mm huyo wewe ndio nilikuwa nakuona mnabebishana jamani tena mpaka nilitaka kukuuliza siku hizi umehamia hapa kule kwa mwanzo umeshatoka

nimefika mpenzi japo hili chimbo sikulijua mapema

Mmmhh.

Tangu nikuite unasema hujalijua mapema…

Niseme???

Hahahahhahahhaha kwanza samahani kwa kukujibu late mana was busy na sikukuu ndugu yangu me na bailly tulishaachana kwenyemwezi wa nne hivi

Karib sana mnirushe roho

sema mpenzi

:oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops: