Siku ya birthday yako unapenda nikupe zawadi gani kipenzi changu?

Mwanaume mmoja ambaye alikuwa kwenye mahusiano na mpenzi wake, ilipokaribia Birthday ya Mpenzi wake alimuuliza swali kamalinavyosomeka kwenye kichwa cha uzi

Mpenzi wake alimjibu( nanukuu ) ‘’ Uwe wa kwanza kuni wish my. Nataka iyo zawadi my ‘’

My take: Kwa Dunia ya sasa kuna mwamamke yeyote anayeweza kutoa jibu kama hilo.??

Hmm! Ukimpata mwanamke wa aina hiyo oa haraka…

Aina hiyo tunasema wanaishi kwenye dunia yao.

Kwamba kwa wanawake wengi wa sasa wangetaja material things like gari, simu kali, nyumba n.k haha

Ni ngumu kuwapata

Hahaaa mie ningeropoka kitu ivi

Hiyo ndio priority kubwa yao kwa sasa

Kma kitu gani?

huyo mwanamke anafaa wife material

Kweli kabisa mkuu

Ndio mkuu, ila kumpata sasa ndio kazi

Mmh acha tu, maana hata yeye angeshangaa

Kweli kabisa mkuu, wapo wachache sana

:p:p:p:p:p:p:p:p
Ingekuwa mithili ya Bomu la Kim akiwa anampiga mkwara Trump ee

Ukibahatika kumpata basi utaishi kwa furaha sana, lakini hawapatikani kwenye karne hii

Umejuaje aiseee Hahaaa angejuta kuniuliza

Hahaaa, Mimi kwakweli kabla sijamtajia zawadi ningefanya assessment ya uwezo wake ( financially) kama yuko vzr tu aisee nataja material things( simu kaliii,iPhone toleo jipyaa) ,ila kama viceversa ningetaja tu kama huyo Dada.

:p:p:p:p:p:p:p:p:p
Ila muwe na huruma kwa waume/wapenzi wenu, ukimpenda kwa dhati sio lazima umpige vibomu vikali kiasi hicho.

Hili jibu la huyu mwanamke inaonesha ni jinsi gani amempenda na ameridhika na mapenzi yao ndio maana anaona hii zawadi ndio inamfaa zaidi.

Kumbuka ukitakiwa maisha mema kwenye kuazimisha siku yako ya kuzaliwa ni Dua tosha ambayo ni bora kuliko zawadi kitu kama ambayo wengi wangetaja

Unajua kauli ya huyu Dada inatufikirisha sana, hapo kaona kuwishiwa na Mpenzi wake iwe ni wish ya kwanza kwa sababu ni Dua ya kutakiwa Maisha mema na marefu ili waendelee kufurahia mapenzi/mahusiano/ndoa yao

mkuu inategemea na mahusiano yenu yakoje, kama mna future naye namwambia yoyote ile itakayonifaa, ila kama ni danga tu lazima likome