Mwanaume mmoja ambaye alikuwa kwenye mahusiano na mpenzi wake, ilipokaribia Birthday ya Mpenzi wake alimuuliza swali kamalinavyosomeka kwenye kichwa cha uzi
Mpenzi wake alimjibu( nanukuu ) ‘’ Uwe wa kwanza kuni wish my. Nataka iyo zawadi my ‘’
My take: Kwa Dunia ya sasa kuna mwamamke yeyote anayeweza kutoa jibu kama hilo.??
Hahaaa, Mimi kwakweli kabla sijamtajia zawadi ningefanya assessment ya uwezo wake ( financially) kama yuko vzr tu aisee nataja material things( simu kaliii,iPhone toleo jipyaa) ,ila kama viceversa ningetaja tu kama huyo Dada.
Unajua kauli ya huyu Dada inatufikirisha sana, hapo kaona kuwishiwa na Mpenzi wake iwe ni wish ya kwanza kwa sababu ni Dua ya kutakiwa Maisha mema na marefu ili waendelee kufurahia mapenzi/mahusiano/ndoa yao