siku nilivuruga na mzae

Hii story ilihappen nikiwanga high school nikiwa form 4

kuna day nikiwa chuo wasee walichujwa fee waende mtaani. sasa ikabaki ni ati chuo ilikuwa almost empty manze. sisi wengine ni wale wenye ilikuwa imelipwa yote. kwanza mimi mzae alikuwa akilipa fee yote kwa mpigo mmoja. at that time tulikuwa tunastay na mzae before hajafall out na mathe (story of another day). sasa kufika next day nikasneak chuo nikaenda kuchill na wasee flani. nilisneaking thursday juu wasee walichujwa wednesday (which ilikuwa weird juu siku mob wasee walikuanga wanachujwa friday ikienda wikendi). alafu kesho kutwa (sato) ilikuanga visiting day.

iyo siku nilichill na wasee walikuwa wamechujwa (wale walikuwa wakiishi some distance away na chuo). siku ikaisha poa. nikarudi chuo bila ngori weekday ilikuanga ngumu sana wachukue roll call juu wasee wengi hawakuwa wanahepa weekday walikuanga wanahepa weekends. kesho yake friday pia nikafuata the same routine. nikasneak nikaenda kuchill na hao wasee kupiga story chuo ilikuwa inaboo walai. kufika jioni nikarudi chuo vizuri. kufika chuo ilikuwa tu fiti. nikaulizia kama roll call ilichukuliwa nikaambiwa haikuchukuliwa nikajua niko safe.

kesho yake ilikuwa sato siku ya visiting which hata sikuwa enthusiastic about coz mzae hakuwa anakam na any isipokuwa gazeti na chupa ya maji. mimi nilienda kutafutwa juu haikuwa interesting si vile ilikuwa tukiwa form one unangoja paro kwa gate ya chuo. mzae alikuwa amekam masaa yake kitu ka 3 hapo juu alikuwa ametravel kutoka nairobi. nikatafutwa na msee nikapatikana nikaenda kupatana na yeye. tukaanza kuchapiana na yeye. kiasi nikacheki mode flani alikuwa anaitwa mr. mwiti tulikuwa tumem nick name CIA juu venye alikuwa anainvestigate story za wasee noma sana alikuwa anakam place tuko. akanigotea na akagotea mzae (yaani salamu) alafu akadai tumfuate mi na mzae kwa ofisi ya depa. tukamfuata hata sikuwa suspicious kuhusu kitu yoyote. tukiwa kwa ofisi ya depa hapo ndo nilijua nilikuwa kwa shiet ingine noma sana. hapo CIA manze alisema vile alinicheki place flani jana yake na wasee wenye hawakuwa wamelipa fee. aliniseti tu vizuri kwa depa mpaka nikashindwa kukataa si mimi. aliongeza chumvi akidai mbona nachill na wasee hawajalipa fee yet mimi nimelipa fee mzima.

mzae aliniuliza kama ni ukweli, nilikuwa najaribu kukataa lakini nikaona hapa ni vita inaningoja tu. ikabaki nimekubali tu na ivo ndo nilichongewa suspension manze. nikaandikiwa lei ya sus ya wiki mbili after which nilikuwa nafaa nirudi na barbed wire. na ivo ndo nilijipata nimerudi dorm nikifuatwa na msee wa store nikabeba matress na box nikazipeleka store na nikapanga bag nikajitoa na mzae. safari ya kutoka meru hadi nairobi ilikuwa refu sana. safari ya 4 hours ilikaa ni kama safari ya 10 hours bana. mzae alikuwa amenyamaza tu. kufika nai ilikuwa kitu kama 9 ya usiku kupanda mat ya mtaani ilikuwa kitu kama 10. kufika hivi tu mtaani lecture ilifuate manze ilikuwa noma. nilipigwa lecture ya kitu 2 hours. ikabaki nimeenda kudoze after hapo.

sasa noma ni ati nilianza kutreatiwa kama mfungwa. hakuna kutoka nje kuamka ni ngware 5 na kurudi mtaani wikendi ilikuwa 7. sasa kitu iliharibia ni ati after wiki mbili za sus kuisha wiki next likuwa midterm which technically ilikuwa treated ni kama part of suspension. sasa mimi nilikuwa naamka najifanya nasoma mathe na mzae wakienda job narudi kulala alafu nawatch tv baadaye hadi kitu 4 ndo wakirudi wanipate nikisoma. siku zingine nilikuwa naskiza ngoma tu. routine ilikuwa ivo ivo. sasa kuna sato moja nilirudi mtaani 9 instead ya 7. mzae akaniuliza nimetoka wapi mimi nilinyamaza akaniuliza tena nikanyamaza. nikaskia amenishow ati mahali niko niende chini upuzi hakuna kitu ka hiyo mimi ningefanya. mimi nilimshow siendi na siendi afanye kenye atafanya. nikaskia amesema kijana ntakuua. nikasema si akuje ujaribu tuone. hapo alijam mbaya na mimi na ufala yangu nikangoja ati akam mahali niko makosa.

mimi urefu yangu inakuanga 6’4 mzae wangu ni an inch taller kuniliko yeye ako 6’5. niliskia tu mkono imenishika shati before hata niongee bare ilikuwa ishashuka paah hadi nikachanganyikiwa. kiasi chake mzae akakuwa physical manze. akarusha videvu mbili za haraka nzito nzito hadi nikaona ni kama nadedi. mathe naye akaanza kupiga nduru ‘waai waai anamuua uuui uuui wanauana’. hakuna venye ningechapwa hivo na nitulie tu. mimi in self defense nikarusha pia kidevu ndo mzae akaniachilia. kuniachilia nikatoka teke nikaishia kuchill kwa boys flani neighbor saa hio wasee walikuwa wameanza kucrome nje ya keja yetu kutaka kujua nini mbaya. wasee walifungua gate wakaingia ndani kutaka kujua ngori gani hii. walipata mzae akiwa na dame kwa shati alikuwa amevaa. kumbe ile kidevu nilirusha ilipata mzae kwa pua akaanza kubleed. mimi sijui walimalizana aje kesho yake niliishia kwa aunty yangu flani hawajaielewana na mzae nikamchocha niliona hio midterm niende nimtembelee. nilitulia huko hadi middy ikaisha nikarudi home siku mzae hakuwa nikapanga stuff zangu nikavaa uniform tukaenda na mathe chuo. kufika meru town mathe alibuy barbed wire nikarudi chuo tukamalizana na admin nikapewa punishment story ikaisha.

kurudi mtaani after kcse nikapata mzae hayuko iyo ni after alitokana na mathe. Hekaya ya siku ingine!

How are you and your old man nowadays? Ama alikwenda Kama yesu?

Hekaya swafi lakini.

Huyo mzae wako ni softie…mimi ghaseer nilibeba kwa makende ikijaribu kunishika kidevu naeza nyorosha kama wale king’ong’o six.

Hii story nimeacha hapo penye unadai unabishana na budako. Na venye unaongea ni kama uko proud of such. I can never argue with my elder no matter what. Alafu mamako ni kunguru no wonder she fell out with the dad, a responsible mother angejoin budako utandikwe vizuri uache ujinga, but just like the way single mothers tend to be, overprotective!

Kurusha Kidevu inamaanisha nini? You need to apologize to the mzae.
Nice hekaya BTW

tall mnyambo everywhere him story imejaa
Kcse
Barbed wire as high school punishment
Kubishana na your father
Ku sneak out of high school

Verdict…wewe bado unangoja KCSE results 2019…

mothers and their sons though…ati “uuuuiii wanauwana”…:D:D:D:D

Kuna siku mmoja i had done some messed up chieth kama kawa at that young age of 13-14. my old man came home and aliposkia what i had done wacha anishambulie mimi thinking that i a man enough i created some space between us and squared up ( southpaw style). Kisha nikamskia mzee akiniuliza ooh so you want to fight me? Nikanyamaza.

Long story short nilipigwa nikakanyagwa kama nonsense. Huyu mzee wangu ni live wire aisee but the more mature i have gotten the better our relationship has gotten although there are always a few incidents where hatukubaliani and we do not budge.

But i have come to understand him the more mature i get i will not be lying if i said that he is my bestfriend infact he is my only friend.

Iyo miaka ya adole inakuwanga na ujeuri Sana
Hapo tulishakatsiana na mzae bana akiwa captain ya jeshi na alikuwa ana participate mengo za pale base, buda nilitandikwa.Alikuwa ana aim Kwa lips.Unaonwa lips zinafura unakosa Kula for two weeks

If you hit your father and spilt his blood, you are cursed my friend. Look for him, apologize and slaughter a chicken to amend the rift. Only then will you heal the curse.

[ATTACH=full]276007[/ATTACH]

kidevu inamaanisha ngumi. I did when we met in 2014. it’s a story long gone.

it’s not a moment am really proud of. it’s a moment I usually want to forget for the rest of my life. when seated randomly the thought of that incident still lingers in my head. I was an 18 year old kid then am in my mid 20s circa 25+ - 3. I wish it ended differently than it did that night. we all make mistakes we are just human am not perfect.

whatever you think of my mum is your opinion. what caused their fall out is something not worth talking about.and am not a single parent person. we lived as a full family for 18 years. my mum is still married to my dad for all I know they didn’t divorce they chose to go their separate ways for reasons know to them.

ulifukuza babako kwake?

Hekaya Safi sana. The respect read fear we had for my military dad while growing up and there is still some element of that fear to date could not allow you imagine doing that nonsense leave alone trying it. Huyo wangu anakumaliza walahi.

ningekukata mikono, siezi lea ghasia ya mtu na inikunjie ngumi kwangu, Huyo budako ni beta male sana

Imagine

How do u square up with your old man? Huyo mzee hakuwa anaheshimiwa kwa hiyo nyumba. No wonder he left.

Kiswahili
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Mzae:she manipulated my own blood to turn against me

hekaya iko wapi?