Sijawahi understand relationship ya Ktalk na JF!

#1
Hii place huwa ni ya nini? Exchange program ama?! I have not seen JF doing the same for KTalk kwao. I have searched for any official announcement ya hii symbiosis, sioni

Mtu anichanue
 
#2
Mfano Leo JF imeminywa Tanzania sasa napata wasaa wa kuja kuvinjari Kenya Bila Visa. Ninyi Tembeleeni Tweeter na mlete huku updates za Uchaguzi. Huku wameminya kila kitu.
 

Top