Sigalame wa Bungoma!

#2
Nilipofika nyumbani kwake

Sikumkuta Bwana sigalame

nilipouliza jirani zake

Waliniambia ameshahama

Oh oh oh Sigalame, uniambie anaishi wapi

Oh oh oh Sigalame, uniambie anaishi wapiMiaka mingi Bwana sigalame

Nyumbani kwao hajaonekana

Wazazi wake wanalia sana

Miaka mingi hajaonekana,Oh oh oh Sigalame, uniambie anaishi wapi

Oh oh oh Sigalame, uniambie anaishi wapi


tumemwona Sigalame
anaishi Bungoma
na huko Bungoma
anafanya biashara

biashara gani anayofanya hiyo
hata salamu sipati baba

sisi twaelewa
anafanya biashara
lakini biashara
anajua mwenyewe

wazazi wake wanalia sana
kumkosa Sigalame mama

tumemwona Sigalame
anaishi Bungoma
na huko Bungoma
anafanya biashara

bibi na watoto wake wanalia sana
Sigalame haonekani mama

sisi twaelewa
anafanya biashara
lakini biashara
anajua mwenyewe

wazazi wake wanalia sana
kumkosa Sigalame mama

tumemwona Sigalame
anaishi Bungoma
na huko Bungoma
anafanya biashara

biashara gani anayofanya hiyo
hata salamu sipati baba

sisi twaelewa
anafanya biashara
lakini biashara
anajua mwenyewe

bibi na watoto wake wanalia sana
Sigalame haonekani mama
 
Top