Shipping Business

Nimetoka kwa woria kuchukua mzigo and couldn’t help but notice hio warehouse yao imejaa mizigo hadi ingine imesahaulika for years after asking one of them mbona walikuwa na mizigo mingi hivi showed me a tv that was imported last year haijawahi chukuliwa. For hio mizigo si wamechomeka kuilipia ndege na hakuna aliye na shughuli kuchukua mzigo wake. Or why would someone import something and not bother to collect it, na unalipa per kg sio KRA imeleta ngori

Mzigo gani uliendea

Bale ya ngimanene

They know what they are doing because most of them won’t accept cash in advance, mpaka mzigo ufike na wakuitie. Besides, the goods that are not collected by owners, if at all there is any, huwa less than 5 percent. And they always auction.

What’s the storage period before auction?

Can’t tell. Kama hio TV si umesema imekaa from last year?
Sometimes people ship in items halafu when they are given the cost and they compare against the value Unaona ukae mitini. African Salihiya used to help importers by finding known buyers of certain stranded goods or giving them parts of the shipment to sell and clear the bills. I don’t know if they still do that. But the most important thing is to keep in touch with them as they continue holding your goods, while you mind the increasing storage charges.

Dead People dont collect parcels.

hii ni agency gani? Ulikua unaship kutoka wapi?