Shikamoo Utafiti: Kila mwezi Mwanaume husaliti mara 6 na Mwanamke husaliti mara 4

[FONT=courier new]Mwaka huu Kazi ipo!

GENTAMYCINE ninapowaambieni acheni kujiingiza katika Mahusiano au Ndoa mnadhani kuwa natania? Hivi mnadhani Mimi nilivyoamua kutokuwa na Mahusiano yoyote ya Mwanamke yoyote na badala yake ni ’ Chapa Ilale ’ tu na ’ Mwendo Mdundo ’ kwa Mademu wa Kibongo / Kitanzania labda huwa nakosea?

Kwa taarifa yenu tu sasa utafiti unasema kwamba kila Mwanaume aliye katika Mahusiano humsaliti mwenza wake mara 6 kwa Mwezi na kila Mwanamke aliye katika Mahusiano nae humsaliti mwenza wake mara 4 kwa mwezi. Endeleeni tu kujifanya mnawachumbia hawa Mademu na Kuwaoa ili muwe mnaumizwa vizuri.

Kwa lugha iliyo nyepesi tu na nyoofu ni kwamba Ewe Mwanaume ambaye ama sasa hivi sijui una Rafiki Mpenzi au Mchumba au Mke jua ya kwamba kila Mwezi Wanaume wenzako Wanne ’ Wanakukandamizia ’ huyo Mwenza wako na Ewe Mwanamke unayejidai na kutamba kabisa kuwa eti una ’ Mupenzi ’ mara ’ Laazizi ’ jua ya kwamba kila mwezi huo ’ Mkuyenge ’ wake unatiririka na kuserereka katika ’ Mbunye ’ zilizotukuka Sita.

Mtanuna sana mwaka huu ila ’ Shikamoo Utafiti ’ Kudadadeki!

Nawasilisha.[/FONT]

Utafiti ambao hauna maana yoyote ile, empty set kabisa

hehehe! hongera zetu wanaume tunaongoza.!

H

A ha haa…bado kidogo wanawake tunawafikia…
Maana kwa kusaka pesa tumewafikia…

:cool::cool:

Empty CD kabisa…

Poleni sana…
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli…

Cc: @Mahondaw

dahhhhhhhhhh!! imekaa vibaya hii… haipendezi kabisa

Sidhani kama ni kweli

hahaa ngoja na tuongeze speed kdg msitufikie, angalau tufike mara kumi kwa mwez.

Sasa sio nchi ya viwanda tena ni nchi ya tafiti tu

Tulia wewe tupo kwenye raiti traki…:D:D

…na vi-wonder :D:D:D…

pamoja na kuwa ibilisi sijasaliti huu mwaka wa pili sasa

Changamoto kubwa sana hiyo Mahondaw, kwako na kwa Smart, bakini njia kuu

Jitahidi zaidi kidogo utarudi kua malaika

Aminaaaaa hallelujah…

cc @Smart911