Shembeteng language- Enyewe tumezeeka.

This is the new language in many hoods by teenagers. Let’s be honest let the language evolve. This is how many Kenyan communities language evolved. It is said the Eastern bantus from Kikuyu, Meru, kamba and coastal bantus spoke one language 250 years ago. It’s just people want to feel unique way to feel important.

Safaricon wanajua hii kitu

Hio reply sijui kwanini inanichekesha, iko na flow:D

Ujinga language

Many hoods or just kayole

Umeffi tupu.

Ukiniongelesha hii ujinga … ni kofi nikiendanga.

How widely used is the language? I bet inatumiwa na mtu 30 and here we are claiming it’s new sheng. Its like the freshi barida invention that remains used by the inventor only. Anyway what do I know? I am a forte something year old man who gets pissed off when an Uber driver or a random job seeking young man calls me and says Niaje? I expect formal salutations unless we are familiar with each other.

Sheng ya kimanyu ilikam ika isha. Hii na ipatia hadi dec

Kwa wenye wanadiggy hii [SIZE=3] “Shembeteng” [/SIZE]convert these for me
Mbao
Baazu
Mboro

:smiley: :smiley: :smiley: :smiley: :smiley:

on interwebs pekee hapa naivasha ata kuongea kiswahili ni taabu kwa wakaazi wengi.

Hii si language. Ni low IQ nonsense

Hii si new language… Ilikua prevalent sana nikiwa primo. Well over a decade ago. It’s just going mainstream now…

Nikipanda matatu…naitwa bazenga…it means?