What the fuck!!?
Aki bots zinasumbua!
Ama ni robot imepata glitch :D:D:D
[ATTACH=full]205340[/ATTACH]
:(
Ni mganga kutoka uarabuni
Admin na watu wake bado wanapanguza marungu
Inasema manama = Riva,
@admin tema io muguka ukimbie uku tumevamiwa.
Hana bandoz…
Yani zote zilikua na view moja?..:D:D
Ngómbe hii ulituacha hanging kwa ile hekaya ya singo matha.
Upussy kimbia uone nilimaliza
reta rink…hata mimi nilikuwa nangoja