Shagzmodos kumbe mnakuanga na life long scars? Poleni sana

:D:D:D:D:D
Sasa everything you do is to prove to those born cetehs that you have made it…

Naaa… You are still not cool and we still won’t invite you unsophisticated swines to our parties.
Screenshot_20230601_094041.jpg

Nairobi ni place ya sheng mingi na catwalk. The average Nairobian has a lower quality of life than the average rural dweller (in central). If most Nairobians had the option of earning what they currently earn, but living ocha, they would consider moving (exactly what most retirees do).

I genuinely believe only the top 25% of Nairobians live better than ocha guys. The bottom 75% (majority) are stuck in the city breathing polluted air, in shoebox apartments without sunlight, no social amenities, and no clean water. But they don’t have a choice because their jobs are in the city.

The smarter average Nairobians raise families in the village but work in Nairobi. Unapata jamaa na bedsitter ama one bedroom anaenda kuona family weekend.

Nairobi is 100 times better than ocha, but only for high earners.

wasee wa Nairobi walisumbua raia saidi

Watu huishi na machungu milele

A city that was once attractive and well planned has turned into a concrete jungle.

Niaje jamaa wa Nyandarua

I’d rather live in Loresho than ocha. But also, I’d rather live in Muthaiga (Nyahururu) or King’ong’o (Nyeri) than Zimmerman, Githu, Paipu, etc. Its a tradeoff and it largely depends on how much money you have and whether your job ties you down. Most people would actually prefer to move but their jobs prevent that.

Hebu compare mwalimu wa TSC in a town like Nyeri and mwenye ako Nairobi in the same job group. The one in Nyeri will have a much higher quality of life and will be wealthier. Huyu wa Nairobi utampata Quiver kesho akichafua meza na salary living paycheck to paycheck.

I thought I’d seen it all until I came across a 40-year-old man who still believes that kuishi Nairobi is being cultured ad sophisticated. Lmao mid-life crisis ni kitu mbaya sana

A teacher I know fits this description. ni dem, amekatalia Nairobi. pale whatsapp ni picha za quiver lounge. anasema ati Nairobi anapata side hustle mingi za tuition. Funny thing wazazi wanapigiwa na hizi loan apps ati msichana alipe deni

Kwanza sisi watu wa Basket ball. I meet some guys who wrongly accuse me of bullying them. It was just business:cool:

Hiyo response does not apply to women because 99% of women have a side hustle - MEN. Men globally subsidize their cost of living significantly. Ukiona mwanamke ana-earn 50k net officially for example, her true income is probably 1.5X that figure because one or more men spend on her. That’s how unapata mwanamke anaishi nyumba ya 35k na ana-earn 50k officially.

“Side hustles” gani hizo zenye male teachers hawapati? Na ukumbuke kuna thousands of jobless teachers. Read between the lines banae. Anamaanisha Nairobi kuna sponsors wako na pesa. So, kwa mwanamke kama huyo, it makes perfect business sense kukaa Nairobi na that’s why ako Quiver kutega huko. Akigonga 35 or 40 depending on how she looks that time it will make economic sense to live ocha.

Hakuna town fity kuishi kama LD bana. Kama unapenda maisha ya kuhang out SJ etc ndio utaumia. Otherwise huku life ni cheap. Nyumba nilikua nalipa 12k hapo Rongai, a very shitty slum ni 7k huku gated community. All amenities ziko, hewa safi, nice 3d movie theatre, kwani unahitaji nini? Alafu vienyeji hii sampuli ziko huku mob mnaenda tu manature walk unamkatia hadi anaanza kushona nyasi mkitembea mkichuna maua 20230601_145325.jpg

You really had to post her photo on this app!?!

What do you expect? That is Alejandro the Retarded Mosquito, @Ngimanene na matharo kuja pea yeye nyahunyo

gated community gani eldoret ni hiyo bei mkuu? unless uko kwa SQ, sio juu ati sisi ni CITY BOYS hatujui nini inaendelea ushago

Chenye wamatharo atasema

Umelia sana. Nimetoa

When you travel to major cities in Europe, Canada or U.S. and you come back to Nairobi, you see it as a substandard city.

Venye huwa unaenda ushago unaona hakuna amenities za kutosha, ndivyo mtu amekuwa exposed na traveling different countries huwa anaona Nairobi.

Chunga anaweza pata ball ukiingia mkia

Very nais