SGR Maths

Najua hesabu ilikua ngumu kwa wengi lakini ya pesa haijawai lemea.

Tufanye ya reli class ya wananchi tunaambiwa mia saba.
That 700 does not consider a cab to Kyang’ombe (Actual train station wana claim Nairobi) alafu pia uongeze cab ya kutoka apo miritini kuingia La Costa. This will come to around 1300 na umepigana na Jam za syokimau plus za Mariakani. Add around 3 hours apoikue nane.

The exact same time and amount you can take on a bus from CBD to Mwembe Tayari.

Sasa ya birionaires ata sjui nikapande jambo ama nipiganie gari ya moshi.
Ni hayo tu kwa sasa.

Jamaa, uko chini kihesabu, jaribu subject ingine kama CRE

If maths was hard for you, then talk about yourself.
Personally maths have always been easy for me.

Wewe ata hujai kuwa na intaneshen flight pia lokoo flights…, ngoja KR wataanza kuchukua watuz kwa stage

Hii maneno tumeiongea saana

wachana na SGR wenye hawana sida ya hisabu wataenda nayo.

Kutoka miritini hadi town ni 50 na matatu lakini lazima sisi watu wa kîrathi tupande uber

:slight_smile:

Kikikikiki! Classic Ktalk welcome sweep. Huyo pengine atamfuata @jimmy_m

Take that avi out.Don have no respect for that bitch nigga but your intelligence doesn’t work with it[ATTACH]103583[/ATTACH]
[ATTACH=full]103581[/ATTACH]

The only Demoreh I knew was one who the creator blessed with size. He was uncordinated and every one of his moves seemed exergerated… When he tried ‘thinking’ his thought process came a cropper and the result is akin to what you just posted…

WHO WAS YOUR CRE TEACHER?

https://twitter.com/alichokeh
[ATTACH=full]103593[/ATTACH]

Naona U-dumb-aki defence divas out in full force.

Aaai lakini hii kizungu ysko ilirushwa na paper bag!?

http://www.elitehr.co.ke/index.php/elite-human-resource-solutions-limited-careers/139-coupler-worker

SGR Madaraka Express recruiting.

http://www.elitehr.co.ke/index.php/elite-human-resource-solutions-limited-careers/139-coupler-worker

I’m sure everybody preffers if the stations for the passenger trains were within both CBDs

Dumb AF.