Serikari yatangaza ajira kwa walimu wa Sayansi na Kiingereza

Ndugu Watanzania,
mnamo tarehe 20 Juni serikali ya Tanzania kupitia Ofisi ya rais-TAMISEMI imetangaza ajira za walimu kwa masomo ya Sayansi pamoja na somo la Kiingereza.

Mwisho wa kutuma maombi ni Julai 20 mwaka huu. Sifa na vigezo ni elimu ya Stashahada au Shahada.

Jinsi ya kuomba, nenda tovuti ya TAMISEMI, kuna kiungo kimewekwa kitakuongoza kufanikisha maombi yako.

Maelezo zaidi nenda tovuti ya TAMISEMI utakuta tangazo kamili na maelekezo yote.

Ni hayo tu ndugu zangu wapendwa mabibi na mabwana, nikutakieni asubuhi njema.

Waso.

Kwani haya masomo ya Arts(History,Kiswahili ) yameachwa kufundushwa mashuleni siku hizi?,mbona ajira nyingi Science subjects daah. thank you lkn kwa taarifa @Waso

Hata hiyo sayansi hawachukuliwi wote, kiujumla kwa sasa ajira zimebana hakuna mfano.