Sawmill

Who knows the taxes payable when importing a sawmill?
I want to buy a woodmizer sawmill but the prices quoted locally seem way too excessive, almost 150% more than the prices in USA,so this would be good for comparison purposes.
I’ve been going through the East african community common external tariff and I am having trouble trying to categorise what kind of machinery this is.
Further input as to other sawmill brands like Timbery e.t.c is also welcome.

Use cargo consolidators. The wood mizer will be packed in a pallet.
Better still why not buy a used one locally from all those people who closed business when the forests were closed? You should negotiate very low prices.

How do these cargo consolidators work,they under declare value of the goods ama?

https://chat.whatsapp.com/EnOlnlbJuDB2KpQvcJrzWK

JINSI YA KUMZINDUA MWANAUME ALIYE LISHWA LIMBWATA LA KUSINI
JINSI YA KUMZINDUA MWANAUME ALIYE LISHWA LIMBWATA LA KUSINI

Uchawi wa mapenzi kutoka kusini mwa Tanzania ndio uchawi wa mapenzi wenye nguvu kuliko uchawi mwingine wowote ule wa mapenzi ambao umewahi kuusikia. Mume wako, kaka ako au baba ako akilishwa limbwata la kusini basi hapo wewe hesabu maumivu kwa sababu uchawi huu ni hatari sana. Tofauti na uchawi mwingine wa mapenzi, limbwata la kusini ni SUMU YA KICHAWI AMBAYO INAENDA KUUA UBONGO WA MTU ALIYE LISHWA NA KUMFANYA AFANYE KILA KITU AMBACHO MLISHAJI ANAKITAKA.
Nikiwa kama Tabibu wa Jadi nimekutana na kesi nyingi sana za watu walio lishwa limbwata la kusini. Pamoja na kwamba wanaume ndio wahanga wakuu wa uchawi huu yani wanaume ndio wanao ongoza kwa kulishwa uchawi huu hatari na mbaya kabisa kuwahi kutokea katika historia ya uso wa dunia lakini pia wanawake pia hulishwa. Siku hizi maisha yamebadilika sana kwani hata wanaume nao wanatembelea vilingeni kutafuta uchawi wa mapenzi.
Watu wengi w anao lishwa uchawi huu huwa wana haribikiwa na kufilisika kabisa kwa sababu lengo la mlishaji huwa ni kupata fedha na mali kutoka kwa mlishwaji.
Katika lugha ya kitabibu uchawi huu huwa unajulikana kama “ TEKO “ kwa sababu mtu aliye lishwa uchawi huu anakuwa kama mtu aliye tekwa na mtu mwenye silaha nzito mfano bunduki. Mtu akitekwa kwa bunduki ile bunduki inakuwa sio bunduki tena bali inakuwa “ Remote Control” ambayo kazi yake ni kumcontrol mtekwaji na kumuamuru kufanya anacho kitaka.
Mtu aliye lishwa uchawi huu hufanya kila kitu anacho amriwa kufanya na mtekaji.
Uchawi huu umeharibu maisha ya watu wengi sana. Familia nyingi zime vunjika kwa sababu ya uchawi. Watoto wengi wametelekezwa na kuharibikiwa maisha kwa sababu ya uchawi huu. Kibaya zaidi wahanga wa uchawi huu wanazidi kuongezeka siku hata siku. Nimekuwa nikipokea ujumbe kutoka kwa watu wengi wakiniomba nitoe somo kuhusu namna ya kujikinga dhidi ya uchawi huu pamoja na kuwazindua watu ambao tayari wamelishwa uchawi huu.
Nimeandaa makala maalumu kupitia blogu yangu hii ambayo inaelezea A TO Z kuhusu uchawi huu, na jinsi ya kujikinga nao au jinsi ya kumzindua mtu alie lishwa uchawi huo.
Kila nikipata nafasi nitakuwa naweka hapa maelezo kuhusu namna ya kujikinga na kukabiliana na uchawi huu.
Zipo njia nyingi sana ambazo wanazitumia wacahwi kutengeneza uchawi huu hatari wa mapenzi. Nitakuwa naeleza njia moja wapo baada ya nyingine na namna ya kumzindua mtu aliye lishwa uchawi kwa njia husika.
Kwa kuanza leo hapa nitaeleza kwa ufupi njia moja wapo wanayo tumia wachawi:
Kwa kuanza wachawi hufanya vitu vifuatavyo :

  1.   Huchukuliwa  mzizi  ulio okotwa  kwenye mwanandani  wa kaburi ( Mwanandani  wa  kaburi  ni  kishimo  cha  ndani  ya  kaburi. Sasa  watu wakiwa  wanachimba  kaburi  halafu  kwenye  mwanandani  wakikuta  kuna  mzizi  humo  wanachukua  kipande  cha  huo  mzizi. Huo mzizi  sasa  ndio  unao  enda  kuingia kwenye  pishi  la  hilo  limbwata  la  kusini  la  aina  ya  kwanza  ambayo  ninaielezea hapa )
    
  2.   Anachukuliwa  mdudu  anaeitwa  Nyunga. Huyu  nyunga  ni  mdudu  wa  porini  ambae  anafanana  sana  na  panya na  ana  sifa  moja  ya kipekee. Yeye  akivuka  tu njia  anakufa.
    
  3.   Linachukuliwa  tawi  la  mti  mmoja  wa  porini. Huu mti  una  sifa  moja  ya  kipekee  sana. Kila  ndege  anae  tua  juu  ya  mti  huo  anakufa, kasoro  ndege  mmoja  tu  ambae  anaitwa “ Nditi “
    
  4.   Udongo  wa  kichuguu  bubu
    
  5.   Udongo  wa kwenye  njia  panda  jike (  NJIA  PANDA  JIKE  NI  NJIA  PANDA  AMBAYO  ZIMEKUTANA  NJIA  NNE  NA  NJIA  PANDA DUME  NI  NJIA  AMBAYO ZIMEKUTANA  NJIA TATU )
    
  6.    Yanachukuliwa matawi  na  mizizi  ya miti  miwili  iliyo  sehemu moja  lakini mti mmoja  mrefu  na  mwingine  mfupi, yani mti mmoja unauzidi  mti mwingine  urefu.  Huo mti  mrefu vinafungwa  vitu  vya  mwilini  vya  mtu  anae  taka  kumlisha  mwenzake  limbwata  hili  la  kusini  na  mti  mfupi  vinafungwa  vitu vya mwilini  vya  mtu ambae  amekusudiwa  kulishwa  huo  uchawi.
    
  7.   Aina  ya  panzi  wasio na  mabawa. Hawa panzi  hawaruki  kwenda  mbali. Panzi hawa  huchukuliwa na  kusagwa . ( Hawa  ni  tofauti  na  wale panzi  wajulikanao  kama  gugwa ambao  hutumiwa na  wachawi  kumvuta na  kumuita  mtu  aliye  mbali aje  haraka  sana )
    
  8.   Mjusi  wa  ndani ya  nyumba
    
  9.   Maji  ya  Tunge (  Haya  ni  maji ya  kichawi ambayo  hutumiwa  na  wachawi  kuwalisha  watu matunge  wasahau  kuhusu  maisha  yao  yaliyo  pita )
    
  10. Nyama ya n’gombe na paka. Hii nyama ya n’gombe hupasuliwa na kuwekwa dawa iliyo changanywa na talasimu. Halafu nyama hiyo huandikwa talasimu la kichawi kwa kutumia zaafarani nyekundu na miski. Hii hutumika kumlisha paka.” Kanyama ka paka “ lengo ni kumfanya mwanaume anae lishwa uchawi huu amn’gan’ganie mlishaji kama paka am’ganganiavyo mtu anaekula nyama hata akifukuzwa vipi.
  11. Kichwa cha kondoo au kondoo mzima mzima analishwa dawa , talasimu na vitu vya m,tu aliekusudiwa kufanyiwa uchawi na kisha kwenda kuzikwa kaburini.
    Pamoja nma vitu vingi sana ambao muda hauniruhusu kuvielezea vyote leo. Vitu hivi vinatumika kutengeneza hilo TEKO ama LIMBWATA LA KUSINI kwa ajili ya kumroga mwanaume aliye kusudiwa . ( Kumbuka hii ni aina moja tu )
    Uchawi huu ni mbaya sana. Mwanaume aliyelishwa uchawi huu kama alikuwa na mke na watoto basi wote atawasahau. Yani anakuwa kama hajawahi kabisa kuwa na familia. Ni uchawi hatari sana na umevunja familia za watu wengi sana.
    Kesho nitaendelea na aina nyingine ya TEKO ( LIMBWATA LA KUSINI ) na nitamalizia kwa kuelezea njia gani unazo weza kuzifanya wewe mwenyewe ili uweze kujikinga na kujiepusha na kurogwa uchawi wa aina hii pamoja na kumzindua mtu aliye rogwa uchawi huu )
    Kwa makala zangu nyingine,
    Wasiliana na maalim Dr Mambikhi Whatsapp/Calls 255 745 59 50 89

For you to open a saw mill you have to get a permit from somebody who already have it or you will wait for 10yrs for it to mature

You don’t need any special permit to operate a sawmill. Just normal county government licensing.