Satellite Phones

[ATTACH=full]317798[/ATTACH]
Hii kitu mtu yuanza kutumia aje? Inatumia local sim? Ni kitu naweza tumia kama simu ya kawaida na GSM?

Following for future ref:

They work only when in open air to access satellites. They have their own networks.

NIS liked your post

Kwani unafikiria kuuza mihadarati?

:smiley: