Sakata la Mwl.Ayubu wa St.Florence liliishia wapi?

Wakuu mwendo details za hili sakata la Mwl.Ayubu wa St.Florence aliyedaiwa kungonoka na wanafunzi anijuze please.

Baada ya kula viboga vya watoto wa watu,tena vitu tight…si unajua tena tigo???alafu ya mtoto mdogo tena
Sijui hata kama lilikua linapaka mafuta au mate???siri yake

https://www.ippmedia.com/sw/habari/uongozi-st-florence-wamruka-mwalimu-tuhuma-za-utomasaji
UONGOZI wa Shule ya St. Florence Academy, Dar es Salaam, umesema haujui aliko Mwalimu Ayubu Mulugo, anayetuhumiwa kudhalilisha wanafunzi, hivyo kuomba wananchi kutoa ushirikiano ili kumpata na hatimaye sheria ichukue mkondo wake.

Hapa uongozi wa Shule umejaribu kujinadua kwenye hili sakata ili Mwalimu wao abakie na msala wake peke yake.

Wanaoharibu watoto wetu mashuleni na mitaani wanapaswa kuadhibiwa bila huruma.

Updates zitatokea wapi ili hali mitandao ya kijamii inapigwa vita…

Cc: @Mahondaw