Sakata la kupima Samaki Urefu limeonyesha wabunge wapo kwaajili ya matumbo yao na maslahi yao.

Hawa walfi hawana maana kabisa. Mambo ya watu kusumbuliwa kuhusu ukubwa wa samaki hayajaanza leo. Watu wamesumbuliwa kwenye kwenye magari na kupigwa faini za hatari wabunge karibu wote walikaa kimya.

Leo hii wabunge wote wamechafukwa huko. Lingine linalalamika eti limechukuliwa picha linakula samaki mdogo , linaona aibu litaonekana linakula samaki mduchu. Linajali jinsi linavyoonekana na si mambo ya msingi kama jinsi zoezi zima la kudeal na ukubwa wa samaki ambavyo halijakaa sawa na ni kandamizi.

Hata posho zao hawataki ziguswe kabisa

hotuba ya waziri mpango ya bajeti ya 2018/2019 imezungumzia tatizo la faini za kijingajinga wanazopigwa wafanya biashara (japo ametusahau na wanachi wa kawaida) na mamlaka za serikali zinavyotengeneza mazingira magumu ya biashara nchini, lakini naona hata mawaziri wenzake hawajaisoma hutuba yake!!
ameahidi reforms kuanzia july 2018, ngoja tungojee matokeo

Wanajifanya kuchachamaa kisa wameguswa. Haswa hao wa CCM wajinga saaana.

wangekuwa wanacharuka na kuungana kwenye mambo ya maana zaid tungekuwa mbal

Ya kwao Ni dhahabu upande wetu Ni kilio

Inastajabisha sana…

Cc: @Mahondaw

Tanzania hakuna bunge la wananchi isipokuwa kuna bunge la serikali ambalo kz yake ni kuitetea serikali na chama kilichoko madarakani

!
!
Ulitegemea Wawe Kwa Matumbo Ya Nani Labda?

[ATTACH=full]178326[/ATTACH]

Mimi sitii neno

Kuna shida kubwa Tz