saidieni hapa

valencia vs las palmas…gani inakaa kuchukua???
halafu sevilla vs mirandes???
najaribu kusaka supper ya leo

Mimi nimeeka Las Palmas na Seville wins

Hizi sio games za kusaka supper jo…unaeza lala njaa:D

1 Like

Mirandes will score so goal - goal or over 2.5

Hata hii game ya Valencia inakaa kuwa GG pia…

Valencia watafunga kweli?

Not sure…:D:D:D:D but wakianza kufungwa, then definitely itakuwa GG

Sevilla win

sevilla naona ikiwa kama atletico jana…leo staki kukunywa maji bana:):slight_smile:

1 Like

Weka feyeenord win

[ATTACH=full]29183[/ATTACH]

1 Like

nimeplace valenica under 2.5 na sevilla gg…kubaya kubaya :D:D:D:D

sevilla win
Las palmas-valencia =GG

Sema GG kuuma nje

2 Likes