Safaricom Saitan

Kuna Friday fulani nimetoka hustle. Wiki imekuwa mrefu kweli kweli. Kukaribisha wikendi nikaamua kuingia ka pub fulani tao. Nikaanza kuchapa poison yangu mdogo mdogo. Hiyo time niko na 500/-. Kuna pesa mseh alikua atume juu deal ilikua ishaiva, kazi imemalizika sasa ni pesa tu. Na ali promise in an hour atakua ameweka mpesa. Mimi niko drink ya nne. Kuna message illingia nikajua baaaaas, kakitu kameingia kama thong kwa haga ya momo. Mimi kusimama kuenda kulipa kwa hizo till no, shock on me. Kuangalia ile txt ilikua ya mpesa but kuna time earlier on(like 3 hrs earlier) nilikua nime nunua airtime ndo ilikua inafika. Saa hizo niko na deni ya mshwari…Huyo jamaa alikua hajawahi ni weka parking design hiyo. Phone yake nayo ikawa mteja. Hapo ilibidi fobe imeisha kwa kichwa. Sijui hizi delay za Safcom huwa na nn. Kama haingekuwa beshte yangu fulani kukam hapo kuokoa jahazi ninge osha machupa hiyo pub ile proper.

2 Likes

mabirrinaires tunaswipe. peasant problems. pereka huko-------->

4 Likes

Does this hekaya meet the @mabenda4 criterion?

2 Likes

Umejaribu SV.

1 Like

Hapo umeonea momo but isorait.
My advice - Never ever make plans for money not in hand.

2 Likes

HIYO NI MAWAZO SI HEKAYA

hekaya MUST contain a coomer and if hit meet the threshold so hii yako ni fertile imagination

1 Like

Hii upus ungeeka huko kwa section ya ma FTA

He he…Uwesmakende naona Gilbeys inaku danganya alafu kesho ulie hapa hang’ova inakumaliza