Safari ya Wana JF

Habari wandugu, mi nilifika kwa Jahazi,safari ilianzia kigamboni to Mombasa then nikatua hapa,wenzangu VIP mlikuja kwa bodaboda,fuso,basi,au bombadyeeee:D

Pole na safari ndugu, karibu jamvini.

Mimi nilidandia bodaboda nikajikuta naibukia Kibera…

Mimi nilipanda tukutuku nikajikuta naibukia Mombasa

Hatari lakini salama!

Mimi nilipata ishara/maono hatimaye leo nipo Kenya…

wengine tulitwanga kwa mguu siku tatu mpaka kufika Kenya!

me tokea nkute tamko la Tcra nilianza safr yangu na guta mdogo mdogo mpk nkafika

Karibu

Nilifika huku ugenini since 2017:cool::cool:

We kila kila sehemu wa kwanza aya bwana Mr first.

Hhaha huku ugenini sio wa kwanza

Nilivuka mto Nile pamoja na nabii Mussa
Nalog off