Sadaka kutoka kwa mama zetu kwa watoto *film*

Kweli Nani kama mama hata tusimkumbuke kila siku, nimekuta hii filamu mtandaoni nikasema apana wacha nishare na wenzangu naiita SADAKA YA MAMA
#loveyoumama
Film name is Mama ( DO YOU LOVE YOUR MAMA )

https://www.youtube.com/watch?v=ti12qJXYMsI
(sadaka ya Mama Ni kubwa Sana )