Telegram huhifadhi vitu mtandaoni na si kwenye simu. Waweza pokea nudes kutoka mpango wa kando na mke wako akienda gallery hatakushuku.
2.Waweza tuma faili kubwa kwa Telegram ukilinganisha na WhatsApp.
Mawasiliano ya siri. Mtu akichukua screeshot ya mawasiliano yako unafahamishwa mara hio hio. Pia waweza weka timer kama ya sekunde tatu ikawa ukiongea na mtu na hutaki ahifadhi meseji basi timer itakapokamilika meseji hujifufa.
Waweza unda kundi la wanachama 5000 au hata zaidi kwa super groups. WhatsApp huwa ni 256.
Sijaifahamu hiyo mkuu, labda kwa sababu mimi tayari nimejiunga!
Ninachojua ni kutengeneza username ambayo mtu mwingine anaweza kuitumia hiyo kukutafuta hata bila kujua namba yako. Lakini hii lazima uwe umejiunga tayari.
Nenda kwenye Account yako, bonyeza stting, itaonekana sehemu imeandikwa [COLOR=rgb(226, 80, 65)]Info [COLOR=rgb(0, 0, 0)]ambapo[COLOR=rgb(0, 0, 0)] [COLOR=rgb(0, 0, 0)]kuna sehemu ya phone number na username, utaandika jina lolote kwenye username na utasave halafu yenyewe itaonekana kwa kuanza na @ halafu inafuatia username