RUDI JF KIMACHALEMACHALE,TERMS AND CONDITION KUZINGATIWA OVER

[ATTACH=full]179694[/ATTACH]

:D:D:D:saitan::saitan::eek::eek:

nashangaa nimeingia jf lol

Sijui nibaki huku huku

Jf is back but nashaangaa
Swez kurplay wala kuweka thread
Thread za mwisho n za June 10 ndo
Znaonekana tu

wakuu na mimi ndo nimekuja kuwauliza huku imekuaje nimeingia kule JF butbno kureply no kupost thread na nyuzi zilizopo ni za zamani hakuna mpya ,au maandalizi ya kuzuiwa tusiendelee na ID zetu fake!!!?

Jf itakua ipo kwenye majaribio bado

Amini usiamin,JF haiwezi kurudi kiraisi raisi tu

Wasiwasi wenu tu

Ngoja tuendelee kusubiria

Max atakuwa anafight sana kutulinda…

Ila sidhani kama atafaulu.

Afu am using my real email address huku Kenya.

Shida sana…yanawza yakaja na huku.

kote. kule hakuamiki hata kidogo

kule read only

Wamemount RO, not RW

IKO KWA AJILI YA KUSOMA TU YALIYOPITA…

Kama library

Labda wameka hivyo ili kila mmoja ajisome ni jinsi gani ameitendea nchi…

:p:p:D
:smiley:

Jf nimepita kule Ipo Kama gofu la nyumba iliyoungua zamani

Hahah