Wakenya ndio walijifanya wao ni 80% Christians, sasa ukitaka kuibia watu kama ao, si lazima uvalie kanzu ya Christianity? Ama mnataka mwizi wa sugoi akuje amevaa kama mwizi ndio mtoroke?

Y'all stood in a line for hours, cast votes into a plastic box, they got counted, disputed and resolved in a court of law. Apana lia ovyo.. mlijichagulia.