Real Madrid special thread

Hii ni kwa wale wanaojua kujipa raha katika mchezo wa soka, sio vile vitimu vyenye kutia watu stress, hasa vile vya uingereza.
[ATTACH=full]177869[/ATTACH]
[ATTACH=full]177870[/ATTACH][ATTACH=full]177871[/ATTACH][ATTACH=full]177872[/ATTACH]
[ATTACH=full]177873[/ATTACH]

Liverfool hamjambooo
Salah hajambooo
Mane najua hajambo
[ATTACH=full]177874[/ATTACH]

Wozaaaaaa

Afadhali umetuletea thread yetu huku, maana JF wanatuzingua mpaka leo hii. Inamaana hawana hela ya kumlipa Magu au inakuwaje?

Aiseeh…Hii thread imeanzishwa kisakatonge zaidi…kama jukwaa la vibwenga vile:D:p

Real Madrid imewasajili wanawe mchezaji wa zamani wa Barcelona na Chelsea Eidur Gudjohnsen (Marca)

Real Madrid italazimika kumpatia hakikisho mshambuliaji Gareth Bale kuhusu muda atakaochezeshwa iwapo atasalia na mabingwa hao wa Ulaya msimu ujao, kulingana na ajenti wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28(Sky Sports)

[SIZE=7]Zinedine Zidane STILL having crucial part in club transfer[/SIZE]
[SIZE=5]ZINEDINE ZIDANE is still having a part to play over Real Madrid transfers - by advising his son Luca what to do.[/SIZE]
By JACK WILSON
PUBLISHED: 12:09, Thu, Jun 21, 2018 | UPDATED: 12:31, Thu, Jun 21, 2018

https://cdn.images.express.co.uk/img/dynamic/67/590x/977529_1.jpg?r=1529580659996GETTY
Real Madrid transfer news: Luca Zidane is set to leave the Bernabeu
Zidane has three sons - Enzo, a 23-year-old midfielder, Theo, who is 16 and also plays in midfield, and 20-year-old goalkeeper Luca.
Enzo played under his dad with the Castilla side before moving to Swiss club FC Lausanne-Sport.
Theo and Luca remain at Real Madrid, however, and are left in an awkward situation after Zinedine quit the Bernabeu earlier this month.
In fact, Spanish newspaper Marca now believe Luca is on his way with Julen Lopetegui not even giving him a chance in pre-season.
Luca had been the third-choice keeper but the arrival of 19-year-old Andriy Lunin means that Real Madrid already have an alternative option to him.

You can’t rate a player by watching only on YouTube videos, lakini nafikiri huyu Andrly Lunin atamsaidia Navas pale Bernabéu. Bora huyu kuliko angekuja Kepa, kungekuwa na drama nani awe golie namba moja.

Real Madrid hauna kitu kama hiyo. Huyu agent anapenda kidomodomo sana