Rally Gum

Back in the 80s kulikuwa na chewing gum ilikuwa na karatasi Ndani Iko na picha za Rally cars.

Popular ones were Mitsubishi Lancer s, Toyota Celica, Ford, Audi Quattro

Nostalgia. Kumbe wewe ni kizee kama @KITOMBI KIZEE

Mimi 1990 nilikuwa Std 5

Umesahau jojo na flag gum

Na Toffee candy