Rais wa Zimbabwe Mh.Mnangwanda kuwasili kesho nchini kwa ziara ya siku Mbili.

Huyu Mh. juzi tu katoka kukoswakoswa na bomu, mwezi ujao anauchaguzi mkuu halafu leo anafanya ziara Tanzania wakati kampeni bado zikiendelea.

Je ziara ya huyu jamaa inamalengo gani, anataka kujifunza nini Tanzania hasa kwenye ccm

Anakuja kujifunza wizi wa kura na bao la mkono, pamoja na kuomba ufadhili kwa Stone ili ajue mbinu za kutawala kwa Iron Arm.
Naomba niishie hapa tafadhali

anakuja kula pindi linaitwa
Dictatorship 101: how to be a successiful dictator, an introductory course for dummies
Lectuler: Dr. J.P.Magufuri

yaani ukicheki ile video jamaa kapita sehemu baadaya ya kupiga hatua tano pale alipopita panalipuka boma ,Jamaa huyu ila ana malengo mazuri kwa zimbabwe Mungu amjalie mema

Inawezekana mkuu, hasa kwa Afrika inaonekana chama chenye mbinu za kutawala kwa utulivu ni ccm…!

Aliporudi nyumbani kutoka uhamishoni alieleza kuwa kabla ya kuondoka South Africa alizungumza na rais wa nchi hiyo, rais wa Namibia na rais mstaafu wa Tz, JK. Hivyo anazo sababu nyingi za kuja huku.

Ila jiwe sidhani kama inaijua diplomasia ya kimataifa ikiwa tu ya ndani inamsumbua.!

Kuna mikataba gani ya kutia saini???

hahaha aisee

Halijui kitu unaweza kusikia likiomba msaada au mkopo wa kujenga SGR, yaani lilivyojiita jiwe halikukosea!

@Ngakumbuo utamuona huyo jiwe unayemuulizia kesho

Duh Nimecheka balaa.!!

duuh!africa yetu,tunahubiri amani wakati mapanga tumeficha makwapani.

Hizo ndio akili za jiwe mkuu

Anakuja kupata mafunzo mafupi ya bao la mkono

Anapotea njia huyu huku atakuta wanakula rambi rambi, misaada ya maafa, 1.5T, udikteta, uchwara, kubinya demokrasia, nk atajifunza tabia mbaya bora angeenda Kenya

Huyu anatafuta kufuata nyayo za Jiwe…

Kwamba Jamaa anatawala kwa mkono wa chuma na yuko salama…

Anakuja kuteka mbinu zinazotumiwa na JPM za kutawala

watapata tabu snaaaaa

We jamaaaa…daah nmecheka sana.

Hamna lolote. Mikono yake imejaa damu ya Wazimbabwe - rejea Gukurahundi na uchaguzi uliojaa fujo Tsvangirai alipoporwa ushindi. Hata hili la “kukoswakoswa” ni drama ya kuhalalisha anachotaka kumfanyia Mugabe (though deserves treatment he meted to his opponents)