Rais wa Zimbabwe Mh.Mnangwanda kuwasili kesho nchini kwa ziara ya siku Mbili.

#6
Huyu Mh. juzi tu katoka kukoswakoswa na bomu, mwezi ujao anauchaguzi mkuu halafu leo anafanya ziara Tanzania wakati kampeni bado zikiendelea.

Je ziara ya huyu jamaa inamalengo gani, anataka kujifunza nini Tanzania hasa kwenye ccm
Aliporudi nyumbani kutoka uhamishoni alieleza kuwa kabla ya kuondoka South Africa alizungumza na rais wa nchi hiyo, rais wa Namibia na rais mstaafu wa Tz, JK. Hivyo anazo sababu nyingi za kuja huku.
 

Wonder Boy

Senior Villager
#17
Anapotea njia huyu huku atakuta wanakula rambi rambi, misaada ya maafa, 1.5T, udikteta, uchwara, kubinya demokrasia, nk atajifunza tabia mbaya bora angeenda Kenya
Huyu anatafuta kufuata nyayo za Jiwe....

Kwamba Jamaa anatawala kwa mkono wa chuma na yuko salama........

Anakuja kuteka mbinu zinazotumiwa na JPM za kutawala
 
#20
yaani ukicheki ile video jamaa kapita sehemu baadaya ya kupiga hatua tano pale alipopita panalipuka boma ,,,,Jamaa huyu ila ana malengo mazuri kwa zimbabwe Mungu amjalie mema
Hamna lolote. Mikono yake imejaa damu ya Wazimbabwe - rejea Gukurahundi na uchaguzi uliojaa fujo Tsvangirai alipoporwa ushindi. Hata hili la "kukoswakoswa" ni drama ya kuhalalisha anachotaka kumfanyia Mugabe (though deserves treatment he meted to his opponents)
 

Top