Rais wa Tanzania Mama Samia Kufanya Ziara ya Siku Mbili Nchini Kenya

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atafanya ziara ya kikazi nchini Kenya siku ya Jumanne.

Rais Samia atakuwa katika ziara nchini humo kwa siku mbili ambapo atapokelewa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.
Akiwa nchini humo atafanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Kenyatta kisha atalihutubia Bunge la Kenya litakalojumuisha Wabunge wa Mabunge yote mawili ya nchi hiyo. Taarifa ya Ikulu nchini Tanzania imeeleza.
Aidha, Rais Samia atahudhuria na kuhutubia mkutano wa jukwaa la wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania utakaofanyika jijini Nairobi kwa lengo la kujadiliana masuala yahusuyo fursa za kibiashara na uwekezaji zilizopo nchini Tanzania na Kenya.

Who cares??

Mwambie hatumtaki huku kwetu

We always have respect for Tanzanian leaders, Kwanza mama Suluhu has been given a high state honor and will address parliament, the last time the Somali guy came to Kenya Uhuru Kenyatta and Raila met him secretly in a hotel, in the DRC he was received by less than 5 people

Acha tuone kama atawekwa same hotel kama Obama ama a lower standard.

@ChifuMbitika si ujitolee utembeze huyu mama Nairobi.

Wa cooshite walishika nare mbaya sana for being belittled.:D:D:D:D:D

Kenyans,Consider yourself extremely lucky to host madam presida in your country

Fox21

Muulize kwa niamba yetu anakuja huku kufanya nini,sisi ni maskini na tuko na madeni kibao,na ataambukizwa uKibera.
Akae kwake huko kuzuri sisi tukae na njaa na umaskini wetu

https://pbs.twimg.com/media/E0fQ71cXIAUIzLR?format=jpg&name=medium

Only if she can promise to give me a tender to supply some goods or services to TZ.

Wewe nûgû ghasia nyamazisha Hilo bakuli lako!

Samehea hiyo ghasia,inafikiri kuongea mbaya mbofu na kulala Hilton kuna badilisha yaliyo kwa ground.
Wako na deek measuring competition mingi sana na ilhali wamejileta wenyewe hapa kwetu

Why did westrrn media kill this guy

https://www.youtube.com/watch?v=1HGr9lxkwvA

Pole sanaaa unatia huruma sanaa bro.

Vp unateseka ukiwa wapi??

Fox21

Bro awa wasichana wa humu wanalipwa kiasi gani?? Fine fine fine girls I promise to come back in near future

Sijapenda hizi lockdown na curfew zenu tu

Fox21

There is no prediction there.
That guy was an animal.

Mimi kama @JM. Pombe nitahakikisha kua swala la vifanga kwa hakika halijadiliwi.

Wacha walalamike kana kwamba nchi nzima ni wanawake tu,Sisi Vifaranga tulishachoma na ng’ombe tulipiga mnada,Mnatakaje tuwapige na fimbo ili tukamilishe hat trick yetu kwao

Fox21

Haa haaa