Rais JP Magufuri, aipongeza Taifa stars

Rais wa Tanzania Mheshimiwa Dr. John Pombe Magufuri ameipongeza timu ya taifa, Taifa Stars kufuatia ushindi mnono iliyoupata wa magoli 3 kwa bila dhidi ya Uganda the cranes ktk michezo ya kuwania kufuzu fainali AFCON 2019.

Rais amefurahishwa na jinsi timu hiyo ilivyocheza vizuri na hatimaye kuibuka na ushindi huo wa magoli matatu