Radio Africa to retrench half the workforce

[ATTACH=full]483794[/ATTACH]

Waah

Office wakas will face an interesting 2023. That said, kama huyo Patrick kampuni haingekuwa yake ningesema akuwe wa kwanza kuchujwa for signing such a memo with very bad English. Ameamua kizungu ifuate queen Elizabeth kwa kaburi.

Ni kama unakuaga ukijua kila kitu. The who is who, where, when, how it happened with who.

Hadi ukicheza bball hapo nini.

Watu wa bball hunibamba tu sana. Maumbwa hizo.

Who listens to radio anymore? Betting na ujinga ya christianity ndio imejaa huko. Bure kabisa. Ngombe ici

You get the point bwana. Hii maneno ya grammar ni upuzi.

https://www.youtube.com/watch?v=t3Z00KmrniM

You’ld be surprised at how many people listen to radio upcountry and actually buy into their crap. Kwanza izo betting shit.

Wa convert kiss TV ikue ya porno

There are just gambling stations the only radio I listen to is KBC stations but of late pia wao wameanza upuzi juu ya worldcup.

porn is the next frontier

Space is the next frontier

Add to the list…Vybez radio of Standard Group closed,Capital FM employees to get mandatory salary cuts…Wah hii recession

Slay queens wa huko wakuje tuwakamue

Hiyo mshahara ya casual labourer Hadi haiwes fanya ukamue maraya wa kilimani sembuse journalist.

Unafanya pHd in journalism unakuja kusimamiwa na mtu grammar hajui. Madness. KBC will be the last man standing when it’s all over.

Hiyo vybz radio si ilianzishwa juzi juzi tu? Elders Kama umeajiriwa expect anything hii mwaka mpya, ni kubaya

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

KBC is a “deadman” walking,without govt money should have been buried years ago.