Principal Secretaries are now abandoning Nabii at an alarming rate.

Naona kwa comments watu wanasema she got tired of Nabii bullshit. Me think Ruto pushed her out ndio alete a fellow Kipmeno, either way, kitamramba.

[MEDIA=twitter]1660928608175632384[/MEDIA]
[MEDIA=twitter]1660936493215490050[/MEDIA]

people who know their worth . kama hawa gen z cats ukimpea job then next month akuje apate hakuna sausage ana resign

wameamu heshima idumu

Working in this govt will demand two things; you be a thief hata kama hukuzaliwa mwizi ama ukuwe.maembe ukae salary iingie mpaka ile siku utatolewa. Lakini kama wewe ni mchapa kazi, the inherent idiocy will numb your brain cells. Imagine kupelekea Omanga a report on the status of suguta valley halafu anakwambia uweke hapo kwa meza you join her in kutingiza matako for her next tiktok video. Ama uende kuona madvd umpate amelewa 10am hata hakumbuki mlikuwa na appointment. Worse, unaenda state house as a CS na briefcase full of important documents unapewa gunia ya makonge na mama wa taifa uvae muombe kwanza since Prophet Ezekiel ako area.

Lakini hizo scenario manze? si u can be creative!.

There is a whole Dr who has a PhD who is supposed to report to Rashid Echesa mwenye ako na birth certificate pekee.:smiley:

Kwani Madvd ni kalewa kiasi hii? never knew

You can be funny at times!!

Wazee wengi walipewa kazi na Truthful Men wakakataa. Huwezi jenga jina lako miaka mingi then ukuje kuichafua na kazi ya miaka tano.

Serikali ya vijana iachiwe vijana, wapakane matope.

gen z are hardworking people lakini hawapangwingwi. gen z hawalambi matako, kazi watafanya kwa terms zao.

:D:D:D

Why is she resigning when we need her the most?

This is how UDA supporters mocked Igathe.

According to a source, a fight between Ms Ngero and Ms Rono over control of the cash allocated to Mr Mudavadi’s office is said to have escalated and caused bad blood between the two high-ranking officials.
The ensuing fight was brought to the attention of President William Ruto, who resolved that Ms Rono should be the accounting officer.
This did not go down well with Ms Ngero, who grumbled about being short-changed despite lobbying for the position of PS through all means.
From Daily Nation

Ama wewe na PhD yako legit from a foreign accredited university una meeting na Aisha Jumwa. You start with pleasantries before the actual meeting, small talk, anakuambia vile alimaliza Form 2 akafanya Master’s direct before hata Bachelor’s.

A clown show I tell you. Almost bordering insanity.

:D:D:D:DSamehea political appointee buana.

Hapa ni kufanywa rubberstamp. Unaletewa documents for signing just coz your signature is required. Kama uko na akili ni kujitoa tuu roho safi.

With this level of creative thinking, it’s no surprise you were recruited by the M16 at one particular time.

True she was working for billionaire Humphrey Kariuki, atarudi tu huko, much better pay without drama mingi