PLANTESHEN WORKERS PROBLEM S

Yesterday I was in the office working when one of my senior mechanics ,Omondi knocks at the door.I grudgingly say come in and he says a quick hello and asks if I have time we talk.My AMG mind quickly calculate s that statement and the tone of it na nikajua kimeumana!!!
The beta male planteshen worker starts mumbling and sweating profusely with a lot of hogwash about the state of economy ,sijui watoto ni wa jamii shenanigans,I interrupt him and ask him to cut to the chase and tell me what he wants.
Mujaa asks for my help for a loan ya kulipia watoto school fees pale pcea ongata rongai for his three kids ,fees ni 120 k ,I immediately realize Bado yeye kumaliza ,he further asks for a 30 k loan ati he wants to boost biashara ya mama iko Chini zaidi, finally he tells me he needs rent ya 20 k ya miezi mbili na 10 k ya fare Ako mbaya zaidi,is that all I ask him ,he says yes ,since I was leaving the office in a few minutes ,I ask him to accompany me to the bank ndio ni msort out ,but my gut instinct tells me huyu hata Hana chakula , so I ask him to accompany me hapo supermarket ,I buy lunch ,I just bought him a shopping ya chakula na other provision s za nyumba ,the guy cried In Public ,hata machoss ilikua inatoka with joy and a big smile ,I gave the guy off day and told him to go sort out his family ,Sasa ghasia itakatwa 15 k a month till December and the cycle continue s, planteshen workers association chairlady @kush yule mnono na tea gurl @Yuletapeli kindly advise your workers wajue kujipanga hii Maisha ,sitaki hii UPUSS!!!

:D:D:D karoga my brother from another mother, si the main reason you gave for not being in planteshen ilikuwa ni bei ya chakula kuwa juu na huwezi lisha mtu mzima na watoto. Sema tu wewe ni supervisor ama operations manager kwa garage ya muhindi, wacha chocha nyingi. Ni ahyo tu kwa sasa

Thank you for helping that guy ulifanya vizuri sana

Hiyo 120k ni full tank sijui ngapi ya porsche cayenne kupiga maraundi. Anyway, to each his own.

:D:D:D:D:D…hapa,my commercial interests dictate that I bind this guy ndio hawezi wacha kazi bila kulipa that amount,pesa is King na the duck that lays the golden eggs must be taken care of siwezi acha ikufe njaa and I need it’s profitable eggs

On serious matters kama hizi you should be serving elders kahawa or tea hii maneno ya kuchangia inifurahishi considering shida zako ndogo ndogo na waiters :D:D:D

:D:D:D:D:D…huyo ndio amefanya kazi ndio nikanunua hio gari, maintain it na ndio anaipiga carwash before I zoom off na yeye anapanda matatu ,look after the golden duck and you will always have golden eggs to sell and make huge profits

Haha. Anyway, IMO the only people who should consider marrying are wealthy guys. What is the point of marrying when you dont have enough money to singelhandedly give your family the best life. Ama ni for love? Unazaa kids who have absolutely nothing to inherit from you. Watoto wanafika 20s ama 30s wanaanza kupambana na unemployment and such shit people are grappling with sahi. Will you derive any joy from seeing that? Watu watafute pesa kwanza hata ukioa late na ukue mzee ukufe unawachia offspring mali.

No. Hapo kumsaidia kudos for that. I would 100% do the same. There is some satisfaction that you get by helping someone in need. Mm shida niko nayo ni watu wanaoa na kuzalisha watoi wanakuja kuishi maisha mbovu. It is a zero sum game. Kama huna pesa, hapana zalisha.

Huyu @Karoga nashuku ni peasant anaishii kwa Bedsitter Roysambu.

ni blood bro yake na alimpatia tu 15k

Wewe vile nakujua hata lollipop ya 5 Bob huwezi nunuloa watoto kwa estate sembuse kusaidia Omosh. Wewe mwenyewe huna kitu ndio maana hata kuma unaonenga viusasa.

:D:D:D unauliza? He stated clearly venye aliona afanye ka farming kiasi mushatha.

:D:D:D huwa hana kakitu kazi ni kutuingiza kwa imaginary lifestyle yake, kuna time alisema akona $100M kwa bank, hapo ndio nkamuonea 18

Hawawezi kuelewa. Stop explaining your decisions to goats.

:D:D:D:D

Link?? Lakini hii jambazi inajiita Karoga isikustue.

Heri yeye hapigi watu ngeta usiko hapo ivo Soweto kayole.

nimejaribu kui search haipatikani, kuna ingine alisema akona pesa ame save abroad and there is a company managing his funds yet alidai hawezi lisha bibi ati ni mtu mzima na food ni very expensive. Huyo kijana anaishi maisha ya upweke na uchochole wa hali juu :D:D

:D:D:D:D:D nikiweka hapa screenshot ya planteshon workers kama @Yuletapeli wakiniomba pesa hii January. mwingine ako na audacity ya kusema ati mimi sina majukumu nimuokolee tuu

I would advise single boys hapa wabaki hivo hivo.
Lakini sikio la kufa halisikii dawa.
[ATTACH=full]490555[/ATTACH]