Pirates beach usiku

I got bored with city life one weekend mfukoni Niko na thao nne …nikafikiria au nifike pwani…on low budget… I booked sgr ticket luckily there was a sit …

Morning nikachelewa kuamka but nikamanage kufika pale athi river station nikachukuliwa hapo… In the next few hrs nilikuwa county 001 , my mission ni kufika pirates beach Mimi huyo Kwa tuktuk , na huko tuktuk ziko open sio kama hizi za Nairobi u wonder au uko ndani ya drum …plus mbio zinaenda huwezi ona kina halima na zainabu vizuri…

ii ni hekaya ama ni mnyambo ya punda

Na feel kuna story interesting hapa ni tu hajui kujiexpress

:frowning:

Maliza story

Kîhîî maliza story ama u-delete

Usiku kulikua nanini

Umbwa ghasia umeleta ushienz ya MKZ ya hekaya nusunusu…

Meffi. Kulwa na beach boys